Washiriki wa majadiliano ya pamoja juu ya kazi za TGNP katika Harakati za Ukombozi wa Mwanamke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza majadiliano hayo yaliyofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa SACCOS ya Walimu Songea Vijijini .
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Friday, November 18, 2011
WANAHARAKATI WA TGNP WAKIWA KATIKA SEMINA YA KUWA JENGEA UWEZO
Washiriki wa Majadiliano ya TGNP wakijadili fursa na changamoto zinazowakabili katika harakati za ukombozi wa Mwanamke Mkoani Ruvuma.Changamoto hizo zita tatuliwa endapo kutaanzishwa vituo vya kupeana habari kwa wana mtandao wa TGNPMwakilishi wa TGNP ndugu Bad Darus akitoa maelekezo kwa washiriki waliohudhuria majadilino ya pamoja juu ya mchango wa wanahabari katika harakati za kumkomboa mwanamke kimapinduzi kwa kwa wanawake wa mkoa wa Ruvuma.
Mwakilishi wawalemavu mkoani Ruvuma CHAVITA Asha Abdala akieleza jinsi ya kuunda mtandao wa vituo vya Habari kwa wanaharakati wa TGNP songea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment