
Umwonaye hapo juu ni mtoto wa mwandishi wa habari Gereison Msigwa ajulikanaye kwa jina la Wayne Msigwa ambaye katika matokeo ya mtihani wa kufungia shule amekuwa mtu wa pili .mshindi wa kwanza ni Vaileth Nchimbi

Watoto wa Skill Path School wakipokea vyeti vya kuhitimu shule ya awali , skill Path School ina fundisha kwa kutumia kingereza

Mwalimu mkuu wa Skill Path aliye vaa shati la blue omary Hakimu Foum akiwa na Mgeni Rasimi Adam Mbega kutoka Voda Com aliwasihi wazazi kuachana na mambo ya anasa badala yake wasomeshe watoto wao

picha ya chini na picha ya juu ni wahitimu wa shule ya Skill Path wakiwa katika mavazi ya kuhimu masomo ya awali

wanafunzi wa shule ya Skill Path wakiwa na furaha baada ya kuhitimu mafunzo ya shule ya awali

SKILL PATH SCHOOL

Ndugu msomaji wa
http://www.songeahabari.blogspot.com/ utaona picha za watoto zina rudia rudia hiyo ni kumpa kila mtoto aliye kuwepo katika maafali aonekane nikimwacha mmoja basi ujue mimi mwandishi nitafute njia ya kupita una wajua watoto wadogo msomaji.
No comments:
Post a Comment