Vikundi mbalimbali vya wana Azaki waki pitia michakato mbali mbali ya kuweza kuisaidia serekari ili iweze kufikisha huduma kwa wananchi
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Saturday, April 21, 2012
HALIMASHAURI ITAKAYO PATA HATI CHAFU VIONGOZI WAAJIBIKE
PICHA HIZO HAPO CHINI NI PICHA ZA KIKAO CHA AZAKI ZISIZO ZA KISEREKARI KILICHO FANYIKA DODOMA KUJADILI KUHUSU MAFANIKIO YA MKUKUKUTA TWO NA JINSI WANANCHI WAVYO SHIRIKI UANDAAJI WA BAJETI
Wajumbe wa Azaki kutoka maeneo mbalimbali kutoka Tanzania Bara wakiwa katika tahtimini ya mafanikio ya Mkukuta TWO na kuangalia jinsi wanchi anavyo husishwa katika bajeti serekari za mtaa
Meneja Mradi wa TANGO Zaa Twalangeti akirabitu maswala ya Mkukuta two na mpango wa Bajeti
Mwana harakati kutoka TGNP Badi akiwa tayari kuwakilisha mada kuhusu mwanachi anavyo takiwa kushirikikuanda bajeti pamoja na kulinda rasilimali za serekari
wana Azaki wakiwa jijini Dodoma waki peruzi mambo mbali mbali yaliyo fanikishwa katika mkukuta two na yale ambayo hayaja fanikiwa

Vikundi mbalimbali vya wana Azaki waki pitia michakato mbali mbali ya kuweza kuisaidia serekari ili iweze kufikisha huduma kwa wananchi
Vikundi mbalimbali vya wana Azaki waki pitia michakato mbali mbali ya kuweza kuisaidia serekari ili iweze kufikisha huduma kwa wananchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
New comments are not allowed.