Mpangala ameyasema hayo wakati akikabidhi Magodoro 20 na
vitanda 20 vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 11,760,000 kwa Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Mh. Said Thabit Mwambungu.
Regina Hyera na Mkuu wa Mkoa akipokea Msaada wa Magodoro na Vitanda kutoka Mfuko wa Taifa wa Taifa wa Bima ya Afya Songea
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu akipokea
vitanda hivyo kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya amesema kutokana na
upungufu wa Magodoro 66 na Vitanda 77 sasa kutakuwa na upungufu wa Magodoro 46
na vitanda 57
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabit Mwambungu ameomba Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya kuangalia uwezekano wa
kuweza kukamilisha Magodoro na Vifaa vilivyobaki.
Meya wa Manipa ya Songea Shaweji Mohamed akiwaomba wafanyakazi wa Mjimwema kudumisha usafi kwa kusema mapato yanaongezeka ina m,aana magonjwa yame kuwa mengi
Mfuko wa Bima ya Afya
Mkoani Ruvuma umetumia zaidi ya shilingi
239,373,881 kwa ajili ya kulipia wateja waliojiunga na Mfuko wa Bima ya Afya.
Kaimu meneja wa Mfuko
wa Bima ya Afya Karistus Mpangala amesema wilaya ya inayoongoza kwa utoaji wa
michango ya Mfuko wa Taifa wa bima ya afya ni Tunduru ambayo imeweza kupata
shilingi 86,619,467.00
Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Jenifa amesema Manispaa ya
Songea imepata Shilingi Milioni 100 kwa ajili ya kununulia Vifaa vya upasuaji
katika Kituo cha Afya cha Mjimwema na wanatarajia kukopa Milioni 100 tena ili
kumalizia chumba cha upasuaji cha mjimwema kianze kufanya kazi.
Kushoto Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katikati Mganga wa Zahanati ya Mjimwema Regina Hyera na kulia ni Carituus Mpangala
Mkuu wa Mkoa akipokelewa na Mganga wa Manspaa ya Songea Chacha huku akiwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Beson Mpesya
Jopo la uongozi wa Zahanati ya Mjimwema wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma baada ya kukabidhiwa Magodoro na Vitanda
Meya wa Manspaa ya Songea akijadiliana na Mkurugenzi wa manspaa jinsi ya kuweza kuhudumia wananchi wa Manspaa
Mganga wa Zahana ya Mji mwema Regina Hyera akipokea Magodoro na Vitanda kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma baada ya kupokea magodoro hayo kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Songea
wauguzi wa manspaa ya Songea wame aswa kutumia vizuri vifaa vinavyo tolewa katika Zahanati zao pili wawe mbali na tamaa ya kudokoa vitu hivyo kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu
Afisa Usitawi wa Jamii wa kwanza aliye vaa Tisheti ya Blue akisikiliza kwa makini Hotuba ya Mkuu wa Mkoa kuhusu wezi katika Hospitali