Mabadiliko ya Ukuu wa Mkoa na Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Luckness
Adrian Amlima, Cosmas Nyano Nshenye, Isabera Octava Chilumba, Juma Homera na
Polet Kamando Mgema umepokelewaje Mkoani Ruvuma.
Mkoa wa Ruvuma katika Miaka ambayo ametawala Mkuu wa mkoa wa
Ruvuma Said Thabit Mwambungu umekuwaje, Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu
katika utawala wake Mkoani Ruvuma ameweza kuunganisha Uhusiano mwema na Nchi
jirani ya Msumbiji na Tanzania na Nchi
ya Malawi na Tanzania upande wa Wilaya ya Nyasa na wilaya ya Songea na Tunduru
katika Mipaka ya Mkenda Muhukuru na Tunduru Tunduru Mpakani mwa Msumbiji.
Mkuu wa mkoa Said Thabit Mwambungu alisimamia kikamilifu swala la marndeleo hata ulipo fika mwenge uliweza kufungua miradi kadha ya maendeleo
Katika Sekta ya Elimu ameweza kuinua kiwango cha Elimu kwa
upande wa Shule za Msingi na Sekondari
kupunguza upatikanaji wa mimba kwa wanafunzi kutoka asilimia 60%
hadi asilimia 15%
Kuongezeka kwa uandikishaji wa watoto wenye umri wa kwenda
shule kuanzia awali hadi elimu ya msingi
kutoka asilimia 40% hadi kufikia asilimia 90% na kufanya ongezeko la watoto
wanaoandikishwa kuanza shule kuwa kubwa.
Katika swala la usafi alisimamia kikamilifu hadi mkoa kila uendako kuna pendeza siyo kwa Songea pekee yake bali ni wilaya zote za mkoa wa Ruvuma. Tuta kukumbuka Mkuu kwa kazi ulizo fanya kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma tuna kutakia kazi mpya katika ofisi ya Waziri Mkuu
Katika Sekta ya Elimu ameweza kuinua kiwango cha Elimu kwa
upande wa Shule za Msingi na Sekondari
kupunguza upatikanaji wa mimba kwa wanafunzi kutoka asilimia 60%
hadi asilimia 15%
Kuongezeka kwa uandikishaji wa watoto wenye umri wa kwenda
shule kuanzia awali hadi elimu ya msingi
kutoka asilimia 40% hadi kufikia asilimia 90% na kufanya ongezeko la watoto
wanaoandikishwa kuanza shule kuwa kubwa.
Sasa kazi ilikuwa katika kusimamia suala la Usafi,
Utengenezaji wa Madawati, Kuimarisha Vyama vya ushirika kupitia Saccos kwa Wananchi ili kuinua Uchumi wa kati lakini
kutakana na Uhamisho wake tunategemea Mkuu wa Mkoa Mpya Mh Mahenge kuendeleza
maendeleo katika Mkoa wa Ruvuma.
Kwa upande wa Afya Mwambungu ameweza kusimamia
upatikanaji wa huduma nzuri za afya na kupunguza vifo vya mama na motto kutoka watoto .
Mkuu wa Mkoa kuna mambo mengi ambayo sijayaainisha lakini
hayo machache ndiyo yaliyo jicho la wananchi katika Mkoa wa Ruvuma
ikiwa utafanikiwa kuangalia hayo utaweza kusonga mbele. Pia jambo la muhimu ni
kuwa na umoja na ufungamano na vyombo vya habari katika kuutangaza Mkoa wa Ruvuma.
Kwa Upande wa Uchumi Mkuu wa Mkoa Mwambungu Aliweza kuinua
Sekta ya Kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao kutoka Tani 400,000 kwa Mwaka
2010 hadi kufikia Tani 1,480,000 ikiwa
na maana ya kila Mwananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuwa na ziada ya Tani moja ya
chakula.
Tukiingia wilaya ya Namtumbo kuna Madini ya Urenium, Mbuga
za Seluu, Kilimo cha Tumbaku pamoja na
Kilimo cha Mahindi.
Tukiwa wilaya ya Tunduru tuna madini ya Vito ambayo
yanapatikana Muwesi na maeneo
mengine pamoja na Kilimo cha Korosho na
Mpunga.
Aidha Wakuu wa Wilaya zote 5
za Mkoa wa Ruvuma wamefanya kazi
kubwa bila kumsahau Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya , Ukifika
wilaya ya Songea zao kuu la biashara kwa wananchi katika kukuza uchumi ni
Mahindi, Mazao mengine ni Kahawa, Maharage , Mpunga pamoja na mazao ya misitu
ambayo ni mbao katika Milima ya Matogoro.
Mh Mkuu wa mkoa Mpya wa Ruvuma Binilith Saatano Mahenge kazi kubwa kwako ni kuinua uchumi wa mwana
Ruvuma, Mkoa wa Ruvuma una Vipaumbele vya
Uchumi vifuatavyo;
Wilaya ya Nyasa yako maeneo ya Utalii kama
Milima ya Living Stone, Ziwa Nyasa Ufukwe wa Ziwa nyasa, Visiwa vya Pomonda na
Samaki wa Mapambo wanaopatikana Ziwa Nyasa. Katika kilimo kunahitaji kuendeleza
Zao la Korosho Mawese pamoja na minazi , Kilimo cha umwagiliaji na kuboresha
Bandari ya mbamba Bay na uzalishaji wa Samaki na Dagaa.
hiki ni kisiwa cha pomonda ambacho kipo liuli katika wilaya ya nyasa ni kisiwa ambacho kilikuwa kikitumika kwa ajili ya watu kujificha vita ya kwanza ya dunia kilikuwa na uwezo wa kuhifadhi watu 250 wakiwa ndani ya pango, ugunduzi wa kisiwa hiki ni matokeo ya utawala wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu. Miti inayo onekana ina zaidi ya karine moja kiwa na maana ya miaka mia moja na miti hiyo iko juu ya mawe
Pia kuna Masuala ya Utalii katika Bonde la Agati pia mbuga
za Seluu Mitomoni mpakani mwa msumbiji, pamoja na kuinua zao la Kahawa ambalo
ni kiungo kikubwa cha uchumi katika wilaya ya Mbinga.
Tukiingia Wilaya ya Mbinga tuna vyanzo vingi vya Mapato, kwa
upande wa Madini kuna makaa ya Mawe yanayopatikana Rwanda, pia kuna Madini ya Vito na
Zeebaki yanayopatikana eneo la Dar Pori.
Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya Mbinga Senyi Ngaga akifungua mtambo wa mawasiliano eneo la Mhukuru karibu na mpaka wa msumbiji tuta wakumbuka kwa utendaji mzuri wa kazi
katika utawala wa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu alijitahidi kuhakikisha shule zote zilizopo mkoa wa Ruvuma kuanzia Shule za awali mpa Sekondari watoto wana kaa ka
tika Madawati, Mkuu wa wilaya ya Songea akiwa msitari wa mbele katika kutengeneza Madawati hapo ana pakua mbao zilizo tolewa na wafanya biashara Mkuu wa wilaya Beson Mpesya ni huyo aliye vaa sweta ya njano
Mkuu wa Mkoa kuna mambo mengi ambayo sijayaainisha lakini
hayo machache ndiyo yaliyo jicho la wananchi katika Mkoa wa Ruvuma
ikiwa utafanikiwa kuangalia hayo utaweza kusonga mbele. Pia jambo la muhimu ni
kuwa na umoja na ufungamano na vyombo vya habari katika kuutangaza Mkoa wa Ruvuma.
No comments:
Post a Comment