Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiwa mkoani ruvuma amekutana na Waandishi na wadau mbalimbali wa michezo wa Mkoa wa ruvuma na kuwaeleza mawasiliano ya widhara yake ukitaka habari una weza kupiga simu 0719 355 770 utamaduni 0719 349 057 na sanaa 0719 349 828 na michezo ni 0657 115 429 au ukitaka kutumia kwa email ni dawati.tarifa.@habari.go.tz
wadau wakiwa wame piga picha ya pamoja katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Ruvuma
Mwandishi mwanda mizi kutoka mkoa wa Morogoro Kaswida Mgeni Mlimila akiwa na Mwandishi Adamu Nind wa Songea wakiwa katika picha ya pamoja
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na michezo Profesa Elisante Ole Gabrielamewaomba wadau wa michezo kuwa na mungano katika sekita nne utamaduni.Michezo.Sanaa na Habari kuwa kitu kimoja ili kuendelea kuleta amani na kuweza kuwa burudisha watu ,habari ni chombo ambacho kina weza kuendeleza amani pia ni chombo ambacho kina weza kuvuruga amani ni bora tasinia ya habari kutumia taluma yao kuendeleza amani
Wadau wa Michezo wameiomba serekari kuhakikisha michezo ina dumishwa kwa kujenga viwanja, kuwa na bajeti ya michezo kwa nyanja zote kuanzia shule za musingi hadi watu wazima
Mwandishi wa Habari wa Star Tv Kaswida Mgeni Mlimila akiwa katika harakati za kupata tarifa mhimu kutoka Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na michezo Profesa Elisante Ole Gabriel
Wadau wa Habari wakipewa mambo mhimu ambayo yana weza kuinua michezo ikiwemo vitendea kazi na kuwa na viwanja vya kutosha,watalamu wa kuweza kufundisha michezo kama inavyo dai nafisi na siyo kama wanavyo taka wao
Afisa wa Bima ya Afya Mkoani Ruvuma asmeomba wadau wa habari kuji katia bima ya Afya ya vikundi ambayo ni shilingi 78,000/=
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na michezo Profesa Elisante Ole Gabrielakiwa na kaimu RAS Afisa elimu mkoa Gharama Saidiu aki mpa majukumu ya njinsi ya kuwa saidia kiafya wana michezo ni jinsi ya kuwawezesha kupata vifaa kwa ajili ya michezo
No comments:
Post a Comment