Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema amekuwa akisistiza mara kwa mara wananchi kuwekeza katika Utalii kama alivyofanya Mwekezaji wa Nyumba ya Wageni ya PAPOK kwa kujenga nyumba safi ya kulala wageni ambayo inavutia wageni kuja kulala pasipo na shaka ikiwa ni kuitikia wito wa Serikali wa kukuza uwekezaji kuendana na uchumi wa Viwanda.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Dr Binilith Satano Mahenge akiwahimiza watanzania kuja Ruvuma kuangalia vivutio vilivyoko Mwambao wa Ziwa Nyasa, Milima ya Mbuji, Fukwe za ziwa Nyasa, Pamoja na visiwa vya Pomonda,Lundo na visiwa vya Mbambabay bila kusahau ukiwa Songea utakutana na Nyumba za wageni ikiwa ni pamoja na GEST HOUSE YA PAPOK iliyoko Mtaa wa CCM
Meya wa Manispaa ya Songea Alhaji Abdull Shaweji akielezea vivutio vya Manspaa ya Songea ikiwemo na PAPOK
Mkoa wa Ruvuma kwa sasa hakuna shida ya usafiri wa Anga umeshaanza hivyo kuwepo kwa PAPOK GEST HOUSE Kumeongeza kutokuwa na ufinyu wa nyumba za wageni
PAPOK GEST HOUSE ni moja ya kivutio cha Mkoa wa Ruvuma usisikie kwa kuambiwa, wale ambao hawajatumia lifuti basi wanaweza kutembelea kuangalia jinsi unavyoweza kupandishwa juu na Mashine za kisasa ukiwakatika Gest ya PAPOK
Afisa kilimo wa Halmashauri ya Songea Vijijini Nyakunga akielezea fursa za uchumi kupitia Mazao yanayo patikana mkoani Ruvuma, zaidi ya Tani milioni moja za nafaka ya Mahindi hupatikana kila Mwaka baada ya mavuno amesema nivizuri ukafanya utalii wa Ndani kwa kulala PAPOK HOTEL
Moja ya vivutio ni mapambo ya mawe meupe ambayo ufikapo Songea uta kutana nayo bila kusahau kufikia nyumba ya wageni ya PAPOK
Nyumba ya wageni ambayo imeongeza umaarufu wa Mkoa wa Ruvuma iitwayo PAPOK ni pambo zuri pia ni nyumba yenye vigezo vyote kwa ajili ya kulala wageni Maarufu na watalii wale wenye uwezo wakufanya utalii ndani ya nchi wanapaswa kujenga utamaduni wa kutumia fursa hii badala ya kutegemea watalii kutoka nje ya mkoa pekee ni vizuri kukithamini cha kwako kwa kuwaunga mkono wawekezaji wa aina hii.
Meneja wa wakala wa Huduma za Mazao ya Misitu wilaya ya Songea Manyisye Mpokigwa akiwa katika maswala ya utalii na wageni aliokuwa nao wakisifu nyumba ya wageni iliyoko mtaa wa CCM Manispaa ya Songea iitwayo PAPOK
No comments:
Post a Comment