Mwenyekiti wa Kamati tya Bunge Mahamud Hasan Mgimwa akiwa na Enginia Himidi Didi kulia ni Bwana Mamboleo wakijadili jinsi ya kuwa na mahusiano mema kwa watu wanao Zunguka Mgodi wa makaa ya Mawe
David Madera chief offecer of Land Surveryor he was ni Ngaka mine lwanda Mbinga
Mtalamu katika machimbo ya makaa ya mawe Lwanda wilayani Mbinga kuhusu maendeleo ya machimboa bwana Mamboleo akitoa maelezo kuhusu mafanikio ya uchimbaji wa makaa ya mawe mpaka sasa tani 80,000 za Makaa ya mawe Zimechibwa
Mtafiti kutoka Zimbabwe David Madera akiwa na mwandishi wa Star Tv Adamu Nindi akimweleza jinsi wanavyo fanya utafiti wakujua kiwango cha makaa ya mawe maeneo tofauti. mbunge kutoka Zanzibar akiwa katika kamati ya Bunge ya Biashara na Viwanda walipo kuja kuangalia Hali Halisi ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe katika Machimbo ya Ngaka wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Kamati ya Bunge Biashara na Viwanda wakijadili jinsi ya kuweza kuinusuru serekari na janga la umeme Nchini Tanzania kwa kuweza kutumia nishati ya Makaa ya Mawe
mkurugenzi wa Viwanda mama kutoka NDC Enginia Alley Mwakibolwa akitoa maelezo ya jinci NDC na TANCOAL walivyo weza kufanikisha uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe amesema mpaka sasa imebainika kuwa kuna madini ya makaa ya mawe kiasi cha tani miloni 250
Meneja katika machimbo ya ngaka Enginia Himidi J. Didi akitoa maelezo ya kina ufanisi ulio patikana na uchimbaji wa makaa ya mawe, amsema makaa hayo yana uwezo wakutoa umeme kiasi cha MG 400 na kuendea, na umeme huo unaweza kutumika zaidi ya miaka 80
Hapo Enginia Himidi Didi anaonekana akiwa toa wasaiwasi wabunge kuhusu matumizi ya uuzaji makaa ya mawe kuwa tani zilizo chimbwa ni ndogo sana kiasi cha tani 80 tu na machimbo ya lwanda yana Tani milioni250
Mh. Mbunge mwakilishi wawa lemavu mama Magret akitoa wasiwasi wake kwa serekari jinsi inavyo shindwa kutumia umeme wenye uhakika wa makaa ya mawe nakungangania umeme wa Genereta ambao una waumiza wanchi
Hiyo ni hali halisi ya uchimbaji wa makaa ya mawe unavyo onekana makaa ya mawe ya Lwanda ni bora sana Ulimwenguni
TANCOAL ikiendelea kuchimba makaa ya mawe ambayo yamejiweka kama tabaka la mwamba
Enginia Himidi Didi akiongea na waandishi wa Habari kuhusu mwendelezo ya maendeleo kwa wananchi wanao ishi jirani na na Machimbo kwa kuwapa Huduma za Maji,Vyoo kwa watoto wa Shule
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge akihoji watalamu wa Serekari jinsi wanavyo weza kusimamia uchimbaji wa Madini ya Makaa ya mawe na kusimamia mapato ya nayo tokana madini hayo kwa wilaya ya mbinga
Kamati ya Bunge ya Biashara na Viwanda ikiendelea kujadili jinsi ya kuiwezesha NDC kupata fedha za kuwa komboa wana nchi na kero ya umem
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Biashara Mahamud Hasani Mgina Mbunge wa Mfindi Kazikazini akijionea rasilimali za makaa ya mawe zilivyo katika wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma
Makamu mwemnyekiti wa Halimashauri ya Mbinga Prisca Haule akiwa na Mtalamu wa Serekari akihoji mapato na ugawaji unavyo tumika wa uuzaji makaa ya mawe
No comments:
Post a Comment