
Mama huyo hapo juu ana julikana kwa jina la Mesha joseph ambaye ametelekeza watoto walio hapo chini na kuchukua fedha tasilimu kiasi cha shilingi milioni 3 ambazo walijiwekea kwa ajili kuwa somesha watoto. mama huyo amefunguliwa jalada MAT/RB/59/2012 yeyote atakaye mwona atoe tarifa kituo chochote cha POLICE kilichopo karibu

Masikini watoto unao waona hapo juu wametelekezwa na mama yao ambaye alikuwa akiishi matarawe katika Manspaa ya Songea, watoto hao wanasikitika mama yao mzazi hapo juu kutoka na kuchukua shilingi milioni 3 ambazo baba yao aliwawekea kwa ajili ya masomo wamemwomba mama yao arudi kwani maisha wanayo ishi simazuri, mpaka mtoto mdogo aliye katikati ana diriki kusema kwa nini mama yao aliwazaa ?
No comments:
Post a Comment