Na N oel S tephen
MPWAPWA
BARAZA LA MADIWANI Wilayani Mpwapwa imetofautiana na watendaji wahalmashauri ya wilaya Mpwapwa juu uharibifu unao endelea katikahifadhi ya msitu wa mali ya asili juu ujengaji Bucha za Nguruwe katikaeneo la msitu huo.
Hali hiyo imejitokeza jana katika kikao cha baraza la Madiwa chaku jadili utekekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri hiyokwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2011-2012 kwa mwezi januari hadimachi.
Akitoa hoja hiyo Diwani wa kata vighawe Bwana Dikson Mahui ambae lawama zote alizielekezea kwa bwana AFYA wa wilaya Bwana Praivat Lweimanmu kuwa ametoa notis kwa wafanya biashara za bucha za nguruwekuhamia katika maeneo hayo ya hifadhi ya mazingira ya mali asili.
Kwa upande wao wafanya biashara wa nyama za Nguruwe wamegoma kuhamiakatika eneo hilo kwa madai kuwa biashara zao si rafiki na utunzaji mazingira, japo kuwa kuna barua za kuwataka kuhama kwenye maeneo yao yenye kumb na MH/C.90/2.VOLII/34 ya tarehe15/02/2012 na kuwatishia kuwapeleka mahakamani kama hawatatii amri hiyo
MWISO
No comments:
Post a Comment