
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu akiwa katika kikao cha ushauri cha Mkoa wa Ruvuma akitoa agizo kwa viongozi wa mkoa wa Ruvuma kuweza kusimamia kilimo pia watendaji wasimamie kwa ukamilifu matumizi ya fedha za uma

Washiriki wa kikao cha RCC wakisikili liza maagizo yaliyo tolewa na Mkuu wa Mkoa kuhusu uajibikaji katika kazi kila mbebaji ata beba mzigo wake mwenyewe kama hata ajibika kiutendaji wa kazi alisema

Mameneja wa Bank kutoka kulia ni meneja wa Bank ya Wananchi wilaya ya mbinga na kushoto ni Meneja wa Bank ya CRDB ndugu Mgimba wakiwa katika kikao cha RCC katika jumba la Maendeleo

Mkuu wa wilaya Mpya ya Songea ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria kikao cha kwanza cha RCC katika ukumbi wa Songea Club

Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Songea wa pili kutoka Kushoto Andrew Chatwanga akisikiliza kwa makini hoja zinazo tolewa ili aziwakilishe kwa Mheshimiwa mbunge wa Jimbo la Songea Dr. Emanuel John NChimbi

Katibu Tawala kutoka wilaya ya Mbinga akiwa katika kikao cha RCC akiwa mmoja wawatendaji walio makini katika utekelezaji wa Maagizo ya Viongozi , Nimmoja wa viongozi katika Wilaya ya Mbinga asiye shawishika na Rushwa

Wabunge wa Mkoa wa Ruvuma wakiwa wame kaa pamoja ili waweze kunyumbua maada kwa Manufaa ya wananchikutoka kushoto Mh. Makame alye katikati Mh. Vitta Kawawa wa Mwisho Kulia ni Mh. Mtutula Mtutula

Kamanda Mpya wa Jeshi la Police Deusdedit Kaizilege Nsimeki akiwa amehudhulia kikao cha kwanza cha RCC toka ateuliwe na IGP Mwema
Washiriki katika Kikao cha Ushauri cha Mkoa wa Ruvuma wakisikiliza mikakati itakayo weza kuitoa Ruvuma hapa Tulipo na kuingia kwenye ufanisi zaidi hasa katika kilimo
No comments:
Post a Comment