Moja ya mambo yanayo sababishi vifo vya kwa wazee ni kukosa
kushiriki Mazoezi ya viungo jambo linalo wa sababishia wazee kuwa jalala la magonjwa mbalimbali , katika
nchi zinazo endelea zina mashine ya mazoezi ,Vijana wazee hushiriki katika mazoezi .Tanzani kuna sehemu chache zenye mashine hizo ,watu wanao bahatika kupanga hoteli kubwa hupata bahati ya kufanya mazoezi kama
anavyo onekana ndugu Adamu Nindi akifanya zoezi Blue Pearl jijini Dar – es
–salamu
Hapo ndugu Adamu Nindi ambaye ali hudhulia Semina ya Gender Protoco Jijini Daer - es - salaam. kila jioni alikuwa akifanya mazoezi kama anavyo onekana katika pichaMoja ya njia ya kujipima misuri ni mashine hiyo unayo iona Mbele yako katika Hotel ya Blue Pearl
Baada ya mtu kukimbia kilometa kaza ,kuna kuwa hakuna haja ya kukimbia mwendo mrefu una weza kukimbia kwa kutumia mashine kama anavyo onekana ndugu Adamu Nindi katika Hotel ya Blue Pearl
Mara baada ya kufanya mazoezi unatakiwa kuweka mwili wako
katika hali mzuri hapo ndugu Adamu Nindi akijitayarisha kuogelea katika
Swimming pool la Hotel ya Blue Pearl
Swimming Pool inayo onekana hutumika kwa wateja walio panga katika Hotel ya Blue Pearl ili kuweka miili yao katika hali nzuri