Naibu
waziri wa Maendeleo ya Jinsia na Watoto Ummy
Mwalimu ameyasema hayo wakati akifungua semina ya siku moja kuhusu Mrejesho wa
Genda Protocol ambayo umehusihsha wandishi
wa na wadau mbali mbali kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi
Naibu
waziri wa Maendeleo ya Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amewataka wanawake
kujitokeza katika ugombea madarkaka mbalimbali ili wakifanikiwa waweze kutetea
haki ya mwanamke na Watoto.
Washiriki katika semina ya kutathiminimambo yaliyo fanyika kupitia Gender Protoco ambayo ina fanyika katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel jijini Dar -es-salaam
washiriki katika semina ya Gender Protoco wakiwa wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Naibu waziri wa Mendelo ya jinsia na watoto Ummy Mwalimu akiwa ukumbi wa blue Pearl
washiriki katika mkutano wa Sadc wakiwa jijini Dar- es -salaam wapili kutoka kushoto ni mwakilishi waakinamama kutoka mkoa wa Ruvuma mama LwambanoMwenyekiti wa Gemsa Gladines Muuno akiwa na Naibu waziri wa Maendeleo Jinsia na watoto Mh.Ummy Mwalimu
Mwalishi ambaye ni Mwandishi akibadilishana mawazo na Mjumbe kutoka Ruvuma mama Lwambano
Picha ya Pamoja iliyo pigwa pamoja na Naibu waziri wa Maendeleo jinsia na Watoto akiwa na wajumbe wa SADC katika ukumbi wa Blue Pearl
Naibu waziri wa Maendeleo Jinsia na Watoto akiwa katika Picha ya Pamoja na Afisa Uhusiano wa TGNP l
Viongozi wa andamizi wa Sadc wakishiriki semina ya kuhusu utathimini wa Gender Protoco mafanikio na Mapungufu yaliyo jitokeza kwa kipindi hiki kifupi |
Wajumbe mbalimbali wakijiandikisha kushiriki semina ya Gender Protoco iliyo husisha wajumbe kutoka SADC
Wajumbe wakijiandikisha katika ukumbi wa Blue Pearl jijini DSM
Wandishi wa Habari wakiwa katika harakati za kutuma habari za kuhusu unyanyasaji wa kijinsia baada ya Hotuba ya Naibu waziri wa Maendeleo jinsia na watoto
wajumbe kutoka Tanzania kisiwani wakiwa ndani ya ukumbi wakingoja semina
Mwakilishi wa GEMSA Adam Mzuza Nindi kutoka Mkoa wa Ruvuma akiwa na mama Lwambano wakijadili jinsi ya kufikisha ujumbe wa Gender Protoco kwa watu walioko pembezoni hasa waqnanchi wa mkoa wa Ruvuma |
Wajumbe kutoka Tanzania visiwani wakiwa na wajumbe kutoka Tanzani Bara wakibadilishana mawazo kuhusu ukatili wa kijinsia ulivyo Tanzania bara na Tanzania Visiwani |
Juma Nyumayo na Mama Lwambanowa kifikiria changamoto zinazo patikana Mkoani Ruvuma |
No comments:
Post a Comment