Wananchi wanao kaa Eneola Mjimwema Manispaa ya Songea mara
kwa mara wamelalamikia madaraja ambayo yana wekwa bila vikinga Ajali. Hivi karibuni loli lililo beba
tofali lilikosa njia wakati likipisha na gari lingene hatimaye kutumbukia mtoni
.
Hebu ona Gari hilo
baada ya kutolewa mtoni lilivyo haribika kwa kuwa Maiti inakuwa haina makosa
ikisha kufa ndivyo wanyonge wanavyo kosa haki wakisha pinduka.
Napenda kumukuru Mkuu wa mkoa Wa Ruvuma ambaye alisema,
Sheria haiwezi kukulinda unapo kuwa umepoteza maisha lakini mwenyewe una takiwa
kujilinda unapo kuwa hai. Jee Manispaa Tusemi hajui maana ya kuweka vikinga Ajali
?
No comments:
Post a Comment