Katibu Msaidizi wa Maadili
Kanda ya Kusini Muhuwa Kapangawazi amewataka Viongozi kutekeleza yale waliyo
wahaidi Wananchi, hiyo ndiyo itakayo onyesha Maadili mema kwa Wananchi wanao
watawala.
Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Ruvuma wameshauri Bajeti zinazotengwa kwa H/za Wilaya zitangazwe baada ya kufika mikononi mwa
Wakurugenzi, kutangaza kabla ya kuwafikia Wakurugenzi ni kuwachonganisha na
Wananchi wakidhani Wakurugenzi wamekula Fedha hizo.
Mjumbe wa Ushauri Mkoa wa
Ruvuma Jenista Mhagama amesikitika na Mipango inayo kwamisha kufikisha
Maendeleo kwa Wananchi, akitoa mfano amesema Banki ya Maji ya Dunia ilitoa
kiasi cha Shilingi Milioni 200 mwaka 2003 ili mradi huo utekelezwe kwa kupeleka
Maji katika Vijiji vya Maweso lakini mpaka sasa mradi huo haujafanyika.
No comments:
Post a Comment