Wananchi wanaoishi Vijijini Mkoani Ruvuma wametakiwa
kujiongezea zao la biashara kwa kuanza kufuga nyuki badala ya kuwa na Mazoea
kutegemea zao moja la Biashara.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Said Thabit Mwambungu ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Kutundika
Mizinga. Maadhimisho yaliyofanyika katika
Kijiji cha Naikesi Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma akiwakilishwa na mkuu wa
wilaya ya songea Joseph Joseph Mkirikiti.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Said Thabit Mwambungu ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Kutundika
Mizinga. Maadhimisho yaliyofanyika katika
Kijiji cha Naikesi Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma akiwakilishwa na mkuu wa
wilaya ya songea Joseph Joseph Mkirikiti.
Mkuu wa wilaya ya songea na mkuu wa wilaya Namtumbo wakibadilishana mawazo kuhusu ufugajiwa nyukiWanafunzi wa shule ya secondary Mbunga wa pokea mradi wa ufugajiwa nyuki
Kaimu Meneja wa kanda wa huduma za misitu kanda ya
kusini Helibeti Haule amesema wametaka
wananchi kutumia njia rafiki za kutunza misitu ikiwemo njia ya ufugaji wa nyuki,amesema serekari kazi yake ni
kutafuta masoko yenye uhakika
Kanda ya Kusini ikiwa na mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma imeweza kupata
Mizinga 5000 kutoka Forest Fund services kanda ya kusini , Mkoa wa Ruvuma
umeweza kupata Mizinga 2000, Lindi 1000 na Mtwara
Mizinga 2000.
Mwalimu wa Miradi Viviani
Mwakalonga kutoka Sekondari ya Mbunga yaliko fanyika Madhimisho ya kutundika Mizinga , amesema ufugaji wa Nyuki
katika Shule hiyo utaweza kuongeza huduma ya tiba pamoja na kuongeza lishe kwa
wanafunzi .
No comments:
Post a Comment