Kauli mbiu ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia 2015
Wageni waalikwa wakipokea salamu za wasanii.
Mwenyekiti wa Dawati ambaye ni mratibu wakuandaa mipango itakayo weza kufanikisha Maadhimisho ya Siku 16 za ukatili wa kinjinsia Renatus Matias mkude akimuliza fedha zilizo patikana
Katika vikao mbalimbali watu huweza kuchangia hoja wakati amelala usingizi hapo kiongozi mmpja wa juu ambaye ashugulia na maendeleo ya jamii akitoa hoja huku akiwa akitafakari
Watoto wanahitaji kuhurumiwa dhidi ya adhabu kali
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadhimisho ya Siku kumi nasita za kupinga ukatili wa kijinsia Mkoa wa Ruvuma Mwanasheria wa Serikali Renatus Mkude akifafanua mwenendo wa makosa ya kijinsia.
Mwenyekiti wa Dawati la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma Anna Tembo alitoa vyanzo kwa walemavu wawili ambao mmoja ni mlemavu wa mikono na mmoja ni mtoto ambaye anahitaji msaada wa kufanyiwa oparesheni ya kutoa maji kichwani, amesema tangu Dawati linatoa msaada kidogo lakini anawaomba Wadau mbalimbali kuweza kuchangia walemavu hao
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela amewataka
Wananchi wote kushirikiana na Serikali katika kufichua vitendo vya Ukatili kwa
Jamii yote.
Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Dawati la Kupinga Ukatili wa kijinsia Mwanasheria wa Serikali Renatus Matias Mkude, katikati ni Mama Mdaula Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa siku kumi nasita za kupinga ukatili na kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma ACP Mihayo Msikhela.
wageni waalikwa wakiongozwa na Mgeni Rasmi Mama Mdaula na wageni waalikwa katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Mashujaa Manispaa ya Songea.
Watoto wanatakiwa kupewa haki za msingi ikiwa ni pamoja na kulindwa dhidi ya ukatili wa ain yoyote ili waweze kukua ipasavyo
wadau mbalimbali wa kupinga ukatili wa kijinsia, Kulia ni Mama Misango mtetezi wa Masuala ya msaada wa kisheria Manispaa ya Songea
Siku kumi na sita za kupinga Ukatili wa kijinsia Mkoani
Ruvuma zitaambatana na kutoa misaada katika Vituo vya watoto wanaoishi katika
Mazingira hatarishi.
Katika Uzinduzi wa Siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia Mgeni Rasmi mama Mdaula aliweza kuwahamasisha wanafunzi wapende Elimu na kutambua umuhimu wa Elimu. pichani Mama Mdaula akisalimiana na wanafunzi katika Viwanja vya Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji mjini Songea
Mwanasheria mkuu wa Serikali Mkoa wa Ruvuma
Renatus Matias mkude alionyesha jinsi Serikali ilivyo makini katika kumlinda
mtoto kuanzia akiwa tumboni.
Mwenyekiti wa Dawati la Police Wanawake mkoa wa Ruvuma Anna
Tembo aliainisha baadhi ya matukio yaliyofanyika wilayani Mbinga Mtu Mmoja
ambaye aliwaua wapwa zake wata kwakuwa chinja
mmoja mmoja na hatimaye yeye mwenyewe kujinyonga.
Pichani ni Matei Mukuru mlemavu wa mikono akiwa na mwenyekiti wa Dawati la Polisi wanawake Mkoa wa Ruvuma. Matei ni Mtaalamu wa Kunyoa lakini ana changamoto ya kukosa vifaa vya kuweza kumsaidia katika shughuli hiyo. Hivyo anaomba wasamaria wema wamsaidia kiasi cha Tsh laki tisa ili aweze kununua mashine ya kunyolea na jenerata.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma ACP Mihayo Msikhela akiwa na viongozi wa Dawati la Poli wanawake katika Ofisi za Dawati la Polisi Mkoa wa Ruvuma.
Wajumbe wa Dawati la Polisi wanawake Mkoa wa Ruvuma
Katika Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia Dawati
litaweza kutoa Elimu katika Shule za msingi na Sekondari pamoja na kutoa Msaada
kwa vituo vya kulelea Watoto yatima wadogo mjini Songea na Songea Vijijini
pamoja na kutoa Msaada kwa Mzee Mlemavu ambaye ameshajichongea Jeneza
atakalolitumia mara baada ya mungu kumchukua.
Wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia mkoa wa Ruvuma wakifuatilia matukio ya uzinduzi wa siku kuminasita za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Mashujaa Mahend