Unapo sherekea Amani katika uchaguzi Mkuu nilazima ujue kuna watu walikesha kuombea Amani Miongoni Mwao ni Mkurugenzi wa PAD Shirika linalo hudumia wazee Issaca Msigwa hapo akionekana akitoa Elimu Mkoani Njombe kuwa omba watu wote Wachungaji Wazazi na Viongozi mbalimbali kuwa elimisha vijana kujiepusha na Vurugu
Mkurugenzi wa PAD akiwa na Wanasheria Mkoani Njombe ambao walikuja kutoa Elimu ya Kisheria kuzingatia amani na Hasara ya kuto kuwepo kwa Amanmi
Wafanyakazi wa Shirika la PAD Mkoani Njombe wakihudumia Watu walio shiriki kopngamano la Amani Mkoani Njombe
Mwandishi Judith Lugoye aliye kuwa akikusanya mambo mbvali mbali yaliyo husiana na utengamavu wa Amani katika Uchaguzi Mkuu
Pasipo kumkumbuka Mungu Amani haiwezi kupatikana waimbaji mwa kanisa la New Good Singer kutoka kanisa la EGT
Waimbaji Hawa waliwakonga Watu walio hudhuria Kongamano la Amani katika uimbaji wao huku wakitoa mifano mbalimbali juu ya kupotea Amani
ETAG
Good senger
Watu walio hudhulia kongamano la Amani wakijadili mambo ambayo yanaweza kuleta Amani kipindi chote cha uchaguzi ,ikiwa na pomoja na kukaa na vi9jana wao katika kuwa elimisha maana kamili ya uchaguzi
picha ya pamoja waliyo piga katika mdahalo wa amani kila mmoja akiwa ameahidi kufikisha ujumbe wa amani kwaq watu mia moja
katibu wa Jukwaa la Amani kabla ya uchaguzi na Baada ya uchaguzi
wajumbe wa jukwaa la Amani kabla ya uchaguzi na Bada ya uchaguzi wakiratibu mambo mhimu ya kulitoa taifa letu katika Amani
Matunda yaliyo onyeshwa baada ya Elimu kutolewa wanchi wakipiga kura kwaq Amani na Utulivu
Uikiwa Mwandishi wa Habari unatakiwa uwe wakwanza katika kufuata tarati sheria na kanuni za Nchi hapo Adamu Mzuza bNindi akipiga kura katika kituo cha Mkombozi Mjimwema Manspaa ya Songea kumchagua kiongozi bora na siyo bora kiongozi
upigaji wa kura ulikuwa wa siri hapo Adamu Mzuza Nindi akiwa amejificha katika banda la kupigia kura na kutumia haki yake ya kidemokurasia ya kumchagua kiongozim anaye mtaka
Mchakato wa uchaguzi ulikuwa ukifuata taratibu zote za uchaguzi hapo ndugu Adamu Mzuza Nindi akimalizia taratibu ya mwisho ya kutumbukiza kura yake kwenye masanduku ya Rais,Mbunge na Diwani ndiyo maana watanzania walioshiriki zoezi la upigaji kura, wanashangaa pale utakapo sema uchaguzi ulikuwa sio wa haki, Haki ipi inayo tafutwa kuliko hii tunayo iona
Kila aliyestahili kupiga kura aliangalia jina lake kwenye ubao, watu waliwasili katika vituo vya kupigia kura kuanzia saa kumi na moja alfajili ili wapige kura na kurudi kufanya shuguli zingine
Wananchi wa Manispaa ya Songea wakitekeleza haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wakati wa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 25, 2015.
Wasimamizi wa Uchaguzi katika Kituo cha Mahenge wakiwa na nyuso za furaha bila hofu yoyote kutokana na uwepo wa Amani ambayo ni tunu ya Taifa letu inayoifanya jamii ya watanzania kuendelea kuilinda na kuitunza katika kipindi chote cha hatua mbalimbali zinazolenga kusukuma maendeleo ya Taifa la Tanzania.
Mkusanyiko mkubwa wa wananchi wazalendo wa Tanzania wakifuatilia matukio ya uchaguzi ambayo yamefanyika kwa amani na uhuru kuanzia wakati wa Kampeni mpaka upigaji wa kura na hatimaye kuwapata Viongozi kwa haki na Amani. Pichani wananchi wakielekea kupiga kura na wengine wakifuatilia orodha za wapiga kura. Hayo yote yameendelea kwa utulivu kutokana na Amani iliyotawala katika kipindi chote cha zoezi la kufanikisha Uchaguzi Mkuu.
Zoezi la kupiga kura Tanzania Bara lilifanyika kwa utuvu mkubwa kwa kudumisha amani kupitia maombi mbalimbali ya wananchi na Viongozi wa Dini kuliombea Taifa la Tanzania liendelee kuwa kisiwa cha amani, kama inavyoonekana pichani wananchi wakielekea kupiga kura pasipo shaka yoyote.
No comments:
Post a Comment