Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Said Thabiti Mwambungu ameiomba Mikoa ambayo imepata kibali cha kuchukua
Mahindi katika Hifadhi ya Chakula NFRA
Mkoa wa Ruvuma
waje haraka ili kupunguza wingi wa Mrundikano wa Mahindi.
Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema Hifadhi ya Chakula ya Mkoa wa Ruvuma ina
Tani zaidi ya Laki Moja, kutokana na hali ya Masika inayokuja Mahindi yanaweza
kuharibika.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabiti Mwambungu amesema kutokana na Mlundikano uliopo wa Mahindi katika ghala
la kuhifadhia mahindi NFRA kuwa mengi. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ameiomba Mikoa iliyo pata kibali cha kuja kuchukua
Mahindi waje haraka ili kutoa nafasi ya
kuweza kupokea Mahindi mengine kutoka kwa wakulima
Mkuu wa Mkoa amesema Mwaka huu serekari haikopi mahindi ya
Mkulima ina nunua kwa Fedha Tasilimu
Wakulima kuuziwa Pembejeo feki kwa kuwekewa Chumvi na
Simenti ni njia moja wapo ya kurudisha maendeleo ya wakulima ukizingatia
Mkulima wa Tanzania hana
Bima hata akikosa Mazao Shambani hilo lina kuwa
swala lake Mwenyewe
Vijana wakijitahidi kupakia Mahindi ili kupeleka Sehemu ambako hakuna Chakula lakini hata Hivyo haionekane palipo chukuliwa Mahindi
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amewaonya wale
wote wanaouza Pembejeo feki kwa
kuwadanganya wakulima kuwa ni Mbolea
kumbe wametia Chumvi au simenti, Watu hao wakikamatwa hatua kali zitachukuliwa
dhidi yao.
Meneja wa NFRA Mogani akiongoza msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akionyesha hali halisi ya Mlundikano wa Mahindi katika Ghala la NFRA
Kama unavyo ona mahindi yalivyo Rundikana yana hitaji kuondolewa ili nafasi ya kuweka mahindi mengine, kuna zaidi ya tani laki moja hivyo Mikoa yenye njaa au iliyo pewa kibali ije kuchukua Mahindi
No comments:
Post a Comment