Uchaguzi katika Ngazi
ya Udiwani katika Kata tatu za Mkoa wa Ruvuma
Chama cha Mapinduzi CCM Kimeweza kuibuka Kidedea baada ya Kushinda Kata zote
tatu.
Wasimamizi wa
Uchaguzi katika Jimbo la Madaba na Jimbo la Namtumbo wamesema Kata ya Mkongo
Gulioni na Kata ya Lismondi wa shindi
wote ni kutoka chama cha.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Namtumbo akiongea
kwa njia ya simu akitoa Matokeo amesema Jimbo la Namtumbo lilikuwa na Kata 2
zilizofanya Uchaguzi kugombea udiwani mgombea wa CCM Pandu Juma Alfani wa mkongo gulioni
alimshinda mpinzani wake wa chadema Komba Dasitani Mcheshi kwa kura 1020 dhidi
ya mpnzani wake wa CHADEMA aliye pata kura 222
Na kata ya Lisimondi mgombea wa CCM Athuman Likungwa aliweza
kushinda mpinzani wake wa Chadema kwa kupata kura 762 dhidi Julius Nyoni aliye pata kura 187
Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Udiwani wakiwa Makini kusoma majina ya walio jiandikisha ili uchaguzi usiwe na Mizengwe
Wananchi wa Kata za Mahanje na Mkongo Gulioni wameomba
Viongozi walioshinda katika uchaguzi kuangalia changamoto za maji pamoja na
Pembejeo za Kilimo.
Uchaguzi ulikuwa wa Uhuru na Haki huwezi kuamini huyo kijana yuko kijijini Madaba Songea Vijijini alkipiga kura bila ya HofuKanuni ya upigaji kura mara baada ya kupiga kura ili usirudie kupiga kura mara mbili hupakwa wino ambao haufutiki zaidi ya siku saba,wako walio taka kusafisha wino kwa nia mzuri tu ili kutoa uchafu ukiwauliza utasikia wakisema usijaribu ngoja utoke wenyewe
kiashirio kujua hiki ni kituo mabango yali bandikwa kila eneo la upigaji kura ili wapiga kura wasi hangaike
Mgombea kupiti tiketi ya chama cha Demokurasia na Maendeleo CHADEMA Kata ya Mahanje Hans John MLelwa ambaye alipata kura 487 Na ndugu Mgombea wa CCM Ndugu Stephano Nelson Mahundi kuwa Mshindi wa Udiwani baada ya kupata kura 946
Kuhakiki Majina mara kwa mara ili kuwa ndiyo kazi kubwa
Popote unapo kwenda kibao ni moja ya ishara kujua kuko sehemu gani ukisoma uta jua kuwa Tanzania ina alama ya kujua hapa ni wapi na una elekea wapi
Kazi ya Uchaguzi siyo mdogo wasimamizi walifanya kazi Mpaka usiku ili kufanikisha uchaguzi ngazi za Udiwani
Ulinzi katika uchaguzi ni Mhimu lakini kutokana na Amani tuliyo nayo Watanzania Asikari wame kakaa kwa Amani huku wanchi wakipiga kura bila fujo wala Bugudha
Kazi ya kujumulisha Matokeo ilikuwa kazi kubwa hasa kwa kufanya kazi kwa kutumia Taa lakini wasimamizi hawa kuweza kuchoka mpaka alipo tangazwa mshindi
Mweka Hazina na Mkurugenzi Mtendaji wakijadili jinsi ya kuwezesha watu walio shiriki kusimamia uchaguzi ukizingatia kuwa Uchaguzi huu ulifanika Vijijini ambako baadhi ya Huduma ni finyu lakini Mkurugenzi Mtendaji aliweza Kumudu
Aliye kaa katikati ni Ndugu Fungo na kulia kwake ni Msimamizi mkuu wa uchaguzi ndugu Robert Mageni na aliye kaa kushoto ni Mweka hazina Halimashauri ya Madaba
Msimamizi wa Uchaguzi Kata ya Mahanje Jimbo la Madaba Kanisius Lingowe amemtangaza Mgombea wa CCM
Ndugu Stephano Nelson Mahundi kuwa Mshindi wa Udiwani baada ya kupata kura 946
dhidi ya Mpinzani wake wa CHADEMA ndugu Hans John MLelwa ambaye alipata kura 487
Aliye simama wapili kutoka kushoto ni ndugu Mlelwa aliye shinda kiti cha udiwani kata ya MahanjeMsimamizi wa jimbo la Madaba Robert Mageni aliye vaa tisheti ya punda milia aki wauliza walivyo ona uchaguzi na kuwauliza kama kuna tatizo lakini hakuna aliye toa kasoro
Uchaguzi ni uchaguzi kuwa makini ni moja ya sifa ya wasimamizi unaona jinsi wasimamizi wanavyo hakiki majina ili kila chama kilidhikje na uchaguzi au mutu atakaye teuliwa
Mkoa wa Ruvuma wenye
Majimbo 10 ya Uchaguzi, CCM imeweza
kutwaa Mjimbo yote ikiwa na pamoja na kuongoza halimashari zote kiutendaji
No comments:
Post a Comment