Waandishi na wapiga picha wakichukua kumbukumbu kwa ajili ya kuwajuza wale ambao hawa kushiriki
mkuu wa wilaya akiwa kwenye makitaba ya Beroya
Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema akijisomea kitabu katika makitaba ya Beroya Sekondari
Vijana wa Maabara wakionyesha jinsi wanavyo weza kutumia vifaa vya maabara katika masomo mbalimbali
Mkuu wSongea Pololet Kamando Magema akiendelea kuangalia vitabu mbalimbali katika makitaba ya Beroya Sekondari
wanafunzi wa kidato cha nne wapatao 138 wakiingia ukumbini tayari kwa kuagwa na ndugu na jamaa
Mkuu wa Wilaya ya Songea akiwa Maabara
Nyoka aina ya chatu amambaye ameweka maabara kwa ajili ya mafunzo ya masomo ya viumbe
Wahimu wakiwa shule ya Sekondari Beroya
Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Beroya katika Manispaa ya
Songea waeiomba Serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa masomo ya Kompyuta
ili waweze kuingi a katika Ulimwengu wa TEHAMA.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari
ya Beroya ambayo ni ya Mtu binafsi wamewathibitishia wazazi kufanya vizuri
katika Mitihani ya kidato cha Nne, wameomba
Masomo ya kompyuta kwa kuwa ni ajira nyepesi katika kujiajiri pili wanaweza
kujiendeleza kwa kusoma Mafunzo mbalimbali kupitia Internet.
Mwana funzi wa Shule ya Sekondary Beroya Tumaini Adam akiwa na cheti chake kinacho thibitisha kuhitimu kwake
wanafunzi walio hitimu wakipokea vyeti kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Songea Pololet Kamando Magema
Wazazazi mbalimbali walio shiriki maafali ya wanafunzi wa kidato cha nne katika sekondari ya Beroya
wazazi wa kifurahia watoto wao kuhitimu elimu ya Sekondari
Tumaini Adamu na Mdogo wake Nuru Nindi a kimvish
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Beroya amesema anasikitishwa
na janga lililowakuta watu wa Kagera kwa Tetemeko hivyo wamelazimika kuchangia
kiasi cha shilingi 100,000 katika Akaunti ya Maafa.
Wazazi walio kuja kushuhudia maafali ya kidato cha nne shule ya sekondari ya Beroya
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema akili sakata kandanda kuonyesha hata yeye michezo alisha wahi kupitia , Mkuu wa Wilaya ya Songea amewaagiza wanafunzi kuzinga tia Michezo
Ufugaji wa Samaki ni moja ya Masomo yanayo tolewa kwa wanafunzi wa Sekondari ya Beroya
Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Beroya katika Manispaa ya
Songea waeiomba Serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa masomo ya Kompyuta
ili waweze kuingi a katika Ulimwengu wa TEHAMA.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari
ya Beroya ambayo ni ya Mtu binafsi wamewathibitishia wazazi kufanya vizuri
katika Mitihani ya kidato cha Nne, wameomba
Masomo ya kompyuta kwa kuwa ni ajira nyepesi katika kujiajiri pili wanaweza
kujiendeleza kwa kusoma Mafunzo mbalimbali kupitia Internet.
Nuru Nindi akitoa zawadi kwa Dada yake Tumaini Adamu kwa kuweza kumaliza kidato cha nne
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema amewaomba
Wazazi kuwatupia macho watoto wao katika kipindi hiki cha kusubiri matokeo ya
kidato cha Nne wasije wakajiingiza katika Mkoando wa Mambo mabaya na pia
kuwaasa wanafunzi wa kike kujiepusha na anasa zisizo na msingi.

Wazazi wa Tumaini Adam wakiwa kwenye Mafali huku wakitoa Zawadi Mbalimbali kwa mtoto wao
No comments:
Post a Comment