KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, October 8, 2016

MKUU WA MKOA WA RUVUMA INGINIA DR BINILITH SATANO MAHENGE AMEAGIZA RUZUKU ZINAZO TOLEWA KATIKA HALIMASHAURI ZITUMIKE KWA KAZI ZA MAENDELEO

 kaimu mkurugenzi wa Halimashauri ya wilaya ya mbinga inginia Vivian Mndolwa  akitoa tarifa aya miradi kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge

 Mheshimiwa Diwani wa Kigonsera Mama Mijinga akimweleza mkuu wa mkoa ukosefu wa mabweni shuleni hapo kimali wanafunzi wa masomo ya sayansi hulala wawili wawili
 Makamu wa Sekondary ya sayans Rehema Rohomoyo akimtembeza mkuu wa mkoa Inginia Dr Binilith Satano Mahenge maeneo mbali mbali ya shule
 mkuu wa shule ya sekondary ya sayansi Rehema Rohamoga akitoa tarifa kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge


 Makamu wa Shule ya Sekondari ya wanafunzi wa kike wanao chukua masomo ya sayansi Mwalimu Rehema Kohmoja akieleza changamoto za shule yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge

Wanafunzi wa  shule ya sekondari ya Kimali wilayani mbinga wakimusikiliza mkuu wa mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge

                                     Vilkanja wa Sekondari ya Kimuli wilayani Mbinga

                  shule ya sekondari kimuli ina uhaba wavitanda kitanda kimoja wana lala wana funzi wawili
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge akikagua shule ya Wasichana ya Sayansi iliyoko kata ya Kimali Mbinga Vijijini
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Binilith Satano Mahenge akipokea Tarifa kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Mbimba Cosmas
 Mara baada ya Kuwasili wilayani Mbinga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge akitia sahihi kitabu cha wageni
 Mapokezi makubwa yalifanyika katika sekondary ya wasichana ya sayansi ikishirikisha viongozi wote wa sekita mbalimbali
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Binilith Satano Mahenge akikagua vyanzo vya maji katika kata ya Ukata wilayani Mbinga kata ambayo haija tembelewa na kiongozi ngazi ya ukuu wa Mkoa toka tupate Uhuru
 Chemsha bongo hiyo hebu angalia hiyo karoti ina onyesha hata mimea nayo ina upendo kwa mimea mingine toa maoni yako
 Mkuu wa Mkoa akiendelea kukagua Miradi ya Maendeleo katika kata ya ukata hiyo ni miradi ya Majii
 Katibu Tarafa wa Mkumbi aliye katikati Siwazuri Ally Mwinyi akifurahi baada ya Mkuu wa Mkoa kutembelea Tarafa yake toka tupate uhuru
 ilikuwa siyo kazi rahisi kwa Inginia Dr Binilith Datano Mahenge kukagua miradi ya Maji kutokana na Milima mikali iliyoko wilaya ya Mbinga

 Ndiyo maana tuna sema milima ni mikali hebu angalia Mkuu wa Mkoa akiwa ameshikilia kiuno konyesha jinsi mlima ulivyo mkali na wa kuchongoka hiyo ni katika kata ya Litoho wilayani mbinga
 Kutokana na Kata kuwa mbali na makao makuu wakandalasi wakipewa kujenga matank ya maji hu lipua hapo mkuu wa mkoa wa Ruvuma akiwa juu ya tank kukagua na kugundua mapungufu mengi moja wapo ikiwa kuvuja kwa tenk, Mkuu wa mkoa wa Ruvuma ameagiza Tank hilo lililopo kata ya Ukata  lisipokelewe mpaka marekebisho ya fanyike
 Viongozi wa wilaya ya mbinga wakimpokea mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge

 Moja ya wafanyakazi wa Kiwanda cha kahawa wakiwa kazini katika kulijenga taifa
 Karani Mahususi wa kiwanda cha kukoboa kahawa Mbinga akichapa kazi ,Hapo ana tayarisha Tarifa ya Mapato na Matumizi
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge Akiongea na Wafanyakazi wa kiwanda cha kahawa


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Inginia Dr Binilith Satano Mahenge akiwa vijiji vya mbinga kuangalia miradi ya maendeleo

No comments:

Post a Comment