KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, May 7, 2013

KAMANDA WA KIKOSI CHA KUZUIA RUSHWA AWASILI MKOANI RUVUMA

Mkurugenzi wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Edward Hoseah amewataka viongozi wa dini kuendeleza dhana ya kutambua kuwa Rushwa ni miongoni mwa dhambi inayokatazwa katika vitabu vyote viwili vya kiislamu na kikristo ni juu ya Viongozi wa dini kuwakumbusha waumini wao
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka Viongozi wa Dini kukemea suala la Rushwa, kwa kuwa Rushwa hupofusha Macho. Mkuu wa Mkoaa ameyasema hayo katika Semina ya Rushwa kwa Viongozi wa Dini wa Mikoa ya Nyanda za Juu kusini.
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu kushoto na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Nchini Edwadi Hoseah wakiwa katika Semina ya Rushwa iliyojumuisha Viongozi wa Dini wa Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Iringa katika Ukumbi wa Heritage Cotage Manispaa ya Songea.
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu kushoto, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Edward Hoseah na Mkurugenzi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Daudi Masiko wakifuatilia semina ya Rushwa kwa viongozi wa Dini nyanda za juu kusini.
Viongozi wa Dini mbambali wakiwa katika semina ya Ruswa iliyo endeshwa na Mkurugenzi wa TAKUKURU Taifa Edward Hoseah katika ukumbi Heteg Mkoani Ruvuma
washiriki wa Semina ya kupambana na Rushwa wakiwa ukumbini Heltege Songea
 Msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Taifa Bw Alfeo Silungwe kushoto mwenye suti ya Bluu akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Ruvuma katika Semina elekezi ya Rushwa kwa Viongozi wa Dini wa Mkoa ya Njombe, Iringa na Ruvuma iliyofanyika Ukumbi wa Heritage Cotage Songea..
kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Deusdedit Nsimeki akiwa na safu ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Ruvuma katika Semina ya Rushwa ya Viongozi wa Dini wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini iliyoendeshwa na Mkurugenzi wa TAKUKURU Nchini Edward Hoseah  wa tatu kutoka kushoto ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Koku Lwebandiza.

No comments:

Post a Comment