Katika kuadhimisha siku ya unywaji wa maziwa dosari lazima itokee jee hii ni halali kuchukua sheria mkononi wakati tukijua hawa ni wasomi waelimishaji. kosa la kijana nikuchukua maziwa bila idhini lakini alicho ambua ni kipigo hebu ona.
Bado kijana akiendelea kupata kipigo mpaka anasema heli nisinge shiriki wiki hii ya unywaji maziwa Mkoani Ruvuma.kipindi chote akipata kipigo hakuna Mgambo wala Asikarini juu ya kamati za ulinzi kulinda hali kama hizo ili sherehe isipate dosari
Masikini kijana pamoja na kutoka nje ya banda mafisa wa banda hilo linalo onekana waliamua kuchukua mazoezi ya masumbwi sijui wana jitayarisha na pambano gani
Pole kijana hata ladha ya maziwa kwako imekuwa chungu lakini nilazimavijana wajifunze rahisi ni gh;ali Vya bure mara zote huwavina adhabu yake,huwezi kujua aliye pewa kusimamia banda hilo kwao ana malezi gani
Banda limependeza lakiniusijaribu kugusa kitu utakiona chamoto ,
Angalia aliye shika bomba anavyo jitayarisha kuweza kuongeza kipigo kwa kijana kweli hawa ni mabondia, lakini turudi nyuma kwa maafisa kama hawa kuchukua sheria mkononi kwao ni halali au vyeo vina wafanya wawe juu ya sheria ?
KIJANA POLE HAYO NDIYO MALEZI YA BAADHI YA VIONGOZI WASIO FUATA UTAWALA WA SHERIA
No comments:
Post a Comment