Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Mbulani Manspaa ya Songea wakipata mafunzo ya upandaji wa Miti na Matunzo yake
Wanafunzi wa Sule ya Sekondari ya Mbulani wameiomba Serekari kupeleka walimu wa somo la kilimo ili waweze kujisaidia apo baadaye
Wanafunzi wa Kibulani wakifundiswa namuna ya miti inavyo toa faida kwa jamii ikiwa na pamoja na kuleta ali ya ewa nzuri
Mkurugenzi wa Mwangaza Foundation akito Mafunzo ya jinzi ya kutengeneza Mbolea ya Asili ambayo aiwezi kuaribu Aridhi
Miche zaidi ya 10,000 imepandwa katika bustani ya Mwangaza Foundation kwa kuweza kusaidia wanafunzi wa sekondari za Manspaa ya Songea
Unao onekana hapo katikati ni udongo ambao una rutuba ya kuwezesa kulatika miche wanafunzi wana fundishwa jinsi ya kutengeneza udongo wenye Rutuba
Miche ya Migwina na Miembe ikionyesha kusitawi vizuri baada ya kupata rutuba bora wanafunzi wakijifunza mbinu hizo za kuboresha Aridhi
No comments:
Post a Comment