Mkurugenzi wa kampuni ya utoaji mbegu bora Nchini Tanzania Zakayo Owenya [aliye vaa kofia mviringo] akiwa na viongozi wa usambazaji waMbegu za PANAR Mkoani Ruvuma wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Tathmini ya ubora wa mbegu aina ya PANNAR ambayo ime onyesha kufanya vizuri mkoani Ruvuma
Mkurugenzi wa PANNAR SEED Tanzania Zakayo Owenya aliye vaa shati la bluu ameahidi kuleta mbegu za PANNAR Mkoani Ruvuma ili kusaidiana na Serekari ya Jamhuri ya Mungano katika kuhakikisha Njaa ina kuwa Ndoto Nchini Tanzania. Amewaomba wakulima kuhakikisha wana Tumia Mbegu za PANNAR ili kuinua kipato chao cha uvunaji wa Mahindi. Mbegu za PANNAR zina uwezo wa kuzalisha Magunia 35 kwa Ekari moja.
No comments:
Post a Comment