
Mkatibu wa Asasi ya SONNGO kutoka mkoani Ruvuma akisikiliza kwa makini namuna ya kumutoa Mwananchi katika umasikini kwa kutumia Rasilimali tulizo nazo

Jamii ya wafugaji wakiwa katika eneo la Ruaha mkoani Iringa wakiangalia shamba la mabondeni ili kuweza kulima mahindi,Mpunga, na Mbogamboga

Mkoa wa Iringa una utaratibu wa kuhifadhi maeneo yaliyo mabondeni kwa kutoa elimu ili wananchi wasilime ovyo ili kulinda vyanzo vya maji

Watoto wadogo huwa watafiti kwa mambo mengi wakiangalia kitu mara moja huweza kutengeneza kitu kinacho lingana na kitu walicho kiona, Hapo wapo Darasani lakini mara baada ya kufika wandishi wa Habari hawakuweza kuvumilia ,waliuliza maswali jinsi Kamera zinavyo chukua Picha ,wanafunzi hao ni kutoka shule ya Mtunduwalo kwenye Machimbo ya Makaa ya Mawe Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma

Uwapo jijini Dodoma kwa vifaa mbalimbali vya umeme fika katika duka la Kazi Moto liko nyuma ya Jengo la au numa ya jengo la CCM Makao makuu Dodoma hapo ni viongozi kutoka mkoa wa Ruvuma walio Tembelea Duka la Kazimoto
No comments:
Post a Comment