Nikawaida ya nyoka huyo kukaa katika paa la nyumba au kama umepanda miti ubani hao nyoka hupenda kuishi humo pia huyo ni pambo ni ajabu kusikia wanaume wana mkimbia sisi kwetu uta kuta mtoto kamuvaa shingoni ,kama kweli wanaume walimkimbia basi ujasili ume toweka hapo Iringa, Ila hongera kwa kuonyesha Mwanamke ana weza
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Saturday, March 10, 2012
NYOKA ULIYE MUA NI RAFIKI WA BINADAMU
Nikawaida ya nyoka huyo kukaa katika paa la nyumba au kama umepanda miti ubani hao nyoka hupenda kuishi humo pia huyo ni pambo ni ajabu kusikia wanaume wana mkimbia sisi kwetu uta kuta mtoto kamuvaa shingoni ,kama kweli wanaume walimkimbia basi ujasili ume toweka hapo Iringa, Ila hongera kwa kuonyesha Mwanamke ana weza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nyoka ni nyoka kaka yangu hata kama hang'ati, wee!! Wanaume walikimbia vibaya mno!! Mimi kuwaonyesha kuwa ni mwanamke jasiri nilimfuata na kumuua.
ReplyDeletenakushukuru kwa hilo ,nakutakia kazi njema endelea kuperuzi mtandao wa www.songeahabari.blogspot.com
Delete