Mtunza kumbukumbu za Ujenzi wa Jengo la Police Wanawake A/ INS Fadhila Chacha akimweleza chanzo cha kubuni na kuanza kujenga jengo hilo
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Saturday, March 10, 2012
MKUU WA MKOA WA RUKWA INGINIA STELA MANYANYA AHIDI KUTO MILIONI MOJA KWA AJILI YA JENGO LA POLICE WANAWAKE MKOANI RUVUMA
J
Jengo la Police wanawake Mkoa wa Ruvuma lazidi kupata wafadhili ili likamilike Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Rukwa Inginia Stela Manyanya ameahidi kutoa shilingi milioni moja kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa jengo hilo mpaka sasa watu walio changia wamefikia watu 25
Mheshimiwa Stella Manyanya akiwa na Jopo la Balaza la UWT Mkoa wa Ruvuma wakikagua jengo la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma
Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa Ujenzi wa Jengo la Police Wanawake bwana Adamu Nindi akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Rukwa Mh. Inginia Stela Manyanya jinsi jengo hilo lilivyo pata Mafanikio
Mtunza kumbukumbu za Ujenzi wa Jengo la Police Wanawake A/ INS Fadhila Chacha akimweleza chanzo cha kubuni na kuanza kujenga jengo hilo
Mtunza kumbukumbu za Ujenzi wa Jengo la Police Wanawake A/ INS Fadhila Chacha akimweleza chanzo cha kubuni na kuanza kujenga jengo hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment