KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, March 5, 2012

UKOMBOZI WAWANAWAKE UNAPATIKANA KAMA KUNA USIRI WA KUJIELEZA

Jengo la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma ambalo linajengwa katika kituo kikuu cha Police Songea ni Jengo ambalo lime tumia mchango wawanachi kwa asilimia 100% likiwa chini ya usimamizi kamanda wa mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda akiwa na kamati ya ujenzi , Inspekita Anna Tembo, A/INSP Fadhila Chacha S/SGT Mesiah Mfupa na Upande wawanachi Mratibu Juma Nyumayo , Mwenyekiti Uhamasishaji Adamu Nindi[ Pichani Adamu Nindi akimwelekeza fundi Mkuu Jasitini Mgao jinsi ya kumimina Bim sehemu ya Mbele ya Jengo [Picha na Judith Lugoye ]



Hii ni hali halisi ya jengo la police wanawake ambalo sasa limefikia hatua ya kumimina Bim hiyo sehemu inayo onekana ni sehemu ya Nyuma mchango wawanachi umefikia milioni 10 na laki tano baki ya vifaa vilivyo ahidiwa vikiwa na thamani ya shilingi milioni 10 tarifa hizi ni kwa mjibu wa kamanda wa mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda

No comments:

Post a Comment