KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Thursday, April 24, 2014
JUKWAA LA KITAFA LA ASASI ZA KIRAIA LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU LA UNDWA CHINI YA MZEE JOSEPH BUTIKU
Mzee Joseph Butiku akitabasamu baada ya kuona wajumbe kkauli moja wakimutaka aendelee na uongozi kwa Asasi zilizo katika Jukwaa la Nchi za Maziwa Makuu
Mzee Joseph Butiku Mwenyekiti wa Jukwaa la Asasi za Kiraia za Nchi za Mzaziwa Makuu akitoa Hoja ya Yeye Kujihudhuru na Kupisha Watu wengine waongoze Asasi akitoa sababu kuwa yeye sasa yeye ni Mzee angeomba aachie ngazi ,jJambo lililo pingwa kwa kura ya veto na kumwomba aendelee kwani hivi sasa msaada wake una takiwa kwa kuwa amani na utulivu kila siku ina kuwa na Changamoto ana takiwa Mtu anaye ona Mbali Mwisho alikubali kuendelea na wadhifa huo
Wajumbe Kumi na Mbili walio chaguliwa kuongoza jukwaa la Asasi za Kiraia zilizo katika Nchi za Maziwa Makuu
Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society John Ulanga akiwausia wajumbe wa Jukwaa la Asasi za Kiraiaza Nchi za Mziwa makuu kuwa makini katika mchakato wa Rasimu ya Katiba kuweza kukumbuka maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa katiba ya nchi ya Mwaka 1964 tulipo pata mungano ilipo fika mwaka 1971 ili kuwa ina bana kama ilivyo nguo ina baana mtu anapo ongezeka hivyo hivyo siku za baadaye ikibana ita bidi kushona nguo mpya na siyo kiraka, Amewaomba wana Assasi kusimamia maneno ya mwalimu Nyerere
Azimio la kuunda jukwaa la Assasi za kiraia za Nchi za maziwa makuu
Hiyo niorodha ya wajumbe 104 walio ridhia kuundwa kwa jukwaa la kitaifa la Assasi za kiraia za Nchi za maziwa makuu Ruvuma ikiwa moja ya Asasi hizo ikiwa ya 95
Hvnphrey Polepole akiwahusia wa jumbe kuwa makini katika kuchagua wajumbe wasije waka chaguliwa wajumbe ambao wana taka kujaza matumbo kuliko kuangalia changamoto zinazo zikabili Nchi 12 za maziwa makuu
Mchungji Anna Mghwirawa Kanisa la KKT Arusha akiwakilisha Mada jinsi ya Kuweza kuepukana na Vitendo vya Ukatili wa Kijnsia dhidi ya Mamaq na Mtoto, Katika Uchaguzi wa Azaki kwa Nchi za Maziwa Makuu Anna Mghwira amechaguliwa kuwa Makamu wa Mambo ya Usalama wa Nchi za Maziwa Makuu
Patrick Kanyangana Mratibu wa Assasi za ACCORD wa Mradi wa Nchi za Maziwa makuu akiwasihii wajumbe kuangalia jinsi ya kuweza kuwasaidia vijana wa Tanzania kupata ajira ambapo kundi la Vijana katika Tanzania ni Asilia 65%
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment