Viongozi wa Ngazi mbalimbali wa Wilaya ya Nyasa wakiwa katika Semina ya Kuwajengea uwezo jinsi ya kumwelimisha Mwananchi wa Kawaida kujua Faida ya Bima ya Afya |
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka Wananchi kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ili kuweza kujiandaa vyema pale familia inapopata madhara ya kuuguliwa. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema familia ya Nyumba moja kutumia kiasi cha Sh. 10,000 inapoumwa ni jambo muhimu ambalo litawapunguzia gharama za Matibabu, amewaomba Watendaji wa Serikali za Vijiji kuhamasisha watu ili wajiunge na Mfuko wa Bima ya Afya
Kiongozi Mwandamizi wa Bima ya Afya Mkoa wa Ruvuma akisikiliza Nasaha za Mgeni Rasimi Saidi Thabiti Mwambungu alipo waasa Viongozi wa Bima ya Afya na Watendaji wa Hospitali ,Zahanati,Na Vituo vya Afya kuacha urasimu Mtu anapo kuja na Kadi ya Bima ya Afya kutaka Matibabu
Viongozi wa Ngazi za juu Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha Nje ya Ukumbi wa Mbamba bay Live Social live. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu
Jopo unalo liona Mbele yako ndilo linalo Shugulikia Wananchi katika Nyanja Mbalimbali Jee tunaweza kusema ndiyo chanzo cha kuufanya mfuko wa Bima ya Afya kuto songa Mbele.?
Hawa ni wajumbe walio chukuliwa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Nyasa ,Lengo likiwa kuwaelimisha ili kumfanya Mwananchi aelewe Maana ya Mfuko wa Bima ya Afya, Nikweli Elimu inayo Tolewa hufika kikamilifu :? Jibu la swala hili ni pale Mshindi atakapo patikana katika mashindano ya kuwa ingiza wananchi wengi kwenye mfuko huo.
Mwandishi Hamuza akisikiliza kwa makini maelizo yaliyo kuwa ya kitolewa na Kaimku Mkurugenzi wa Bima ya AfyaGrace Louboru
No comments:
Post a Comment