Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson Jerry akimwezeaMkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti kuhusu kupanuka kwa huduma za Tigo katika Mkoa wa Ruvuma, kuwa huduma za Tigo unaweza kupata huduma zote za kibenk
Baadhi ya wateja wa Tigo wakiwa katika ofisi za Tigo kushuhudia uzinduzi wa Huduma za Tigo Mkoa wa Ruvuma
Mkuu wa Wilaya ya songea Mkirikiti akipewa maelezo jinsi huduma zinazo tolewa aada ya Mteja kuibiwa au kupoteza laini ya simu na jinsi anavyo weza kurejeshewa
Mkuu wa wilaya akiwa Mapokezi na kuona wahudumu waliopo wakitoa huduma kwa wateja
Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson
Jerry akiendelea kumtembeza Mkuu wa Wilaya katika Ofisi za Tigo Songea
Unawaona ni ni Viongozi wa Tigo wakiwa na Mkuu wa Wilaya baada ya kukata Utepe wa uzinduzi wa Ofisi za Tigo Mkoa wa Ruvuma
Mkuu wa Wilaya Joseph Josefu Mkirikiti akifurahia huduma zinazo tolewa na Tigo hasa alipo onyeshwa simu za kisasa zinazo uzwa na Tigo
Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkiriti akifurahia kadi malumu ambayo ina mfanya kuingia popote pale kupata huduma za Tigo bila kusimama Foleni
Wateja wa Tigo walio huidhulia katika uzinduzi wakipewa Tisheti na Kofia na Mkuu waWilaya songea
Meneja Mauzo wa Tigo Mkoa wa Ruvuma kelvin Mibazi akielezea Faida ya kujiunga na mtandao wa Tigo
Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson
Jerry akijibu maswali ya Wandishi wa habari kuhusu wateja wa mkoa wa Ruvuma wapo kiasi gani, amesema 75% ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ni wateja waq Tigo Mkuu wa wilaya akiendelea kugawa Tsheti na Kofia za Tigo
Mkuu wa Wilaya ya Songea akitoa Hotuba ya uzinduzi wa kituo cha Tigo Mkoani Ruvuma, amewataka wafanyakazi wa Tigo kuweza kuwa kumbuka wateja wa Tigo hasa walemavu pale wanapo toa zawadi mbalimbali ,kuliko zawadi hizo kiishia Dar - es- salaam
ak
Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson
Jerry iendelea kufafanua huduma zinazo tolewa na Tigo zinavyo weza kumunufaisha Mtanzania
No comments:
Post a Comment