KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, April 23, 2014

MKUTANO MKUU WA KUUNDA JUKWAA LA KITAIFA LA ASASI ZA KIRAIA ZA NCHI ZA MAZIWA MAKUU JIJINI DAR -ES - SALAAMU UKUMBI WA UBUNGO PLAZA

 uwapo jijini Dar - es - salaa ukitaka kupata utulivu basi fikia kwenye Hoteli tulivu ijulikanayo kwa jina la Golden Plan Spring Motel
 Washiriki kutoka maziwa Makuu walio shiriki Mkutano wa Uchaguzi wa  kuunda jukwaa lakitaifa la Assasi za kiraia za Nchi za Maziwa Makuu
 Viongozi wa kitaifa wa Asasi za kiraia za Nchi zaMaziwa Mkuu
 Wajumbe wakimsikiliza katibu Mkuu Wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa John Haule akiezea jinsi Serekali ilivyo weza kujizatiti udumisha amani katika Nchi za Maziwa Makuu
 Hao ni baadhi ya wajumbe kutoka katika Assasi mbalimbali za Tanzania wakiwa na wajumbe kutoka katika Nchi za Maziwa makuu
 Mwenyekiti wa Tasisi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwaasa wajumbe kuhusu uchaguzi akiwaambia kuwa wasichaguliwe watu wenye kupenda pesa bali wachague watu wenye kutetea watu
 Katibu Mkuu widhara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  John Haule akifungua Mkutano mkuu wa kuunda jukwaa la kitaifa
 Ussu Mallya Mkurugenzi wa TGNP akitoa hotuba juu ya kuweza kuzingatia Haki ya Mama na Mtoto juu ya kuzuia ukatili wa Kijnsia
 Picha ya Pamoja kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kuunda jukwaa la Kitaifa la Assasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar - es - salaam
 Balozi Vicente Muanda Naibu katibu mkuu wa sekeretariet ya umoja wa Nchi za maziwa Makuu [ICGLR] akielezea mafanikio yaliyo fikiwa katika Nchi kumi na mbili zilizo katika maziwa makuu na mikakati iliyo wekwa hadi kufikia mwaka 2015
 Jafeth Makongo Mratibu wa Mkutano Mkuu wa kuunda Jukwaa la Kitaifa la Assasi za Kiraia za Nchi za aziwa Makuu Jijini Dar -es - Salaam

Mjumbe wa REPOA Dada Rose Aiko wakwanza kulia akisikiliza Mada Mbalimbali kuhusiana na Nchi za Maziwa Makuu ikiwemo Tanzania
 Mkurugenzi wa  Blog ya Songea Habari Adam Mzuza Nindi akiwa katika Mkutano wa Nchi za Maziwa Makuu Jijini Dar - es -Salaam
Jengo la Mikutano lilioko Dar  - es - Salaam  lijulikiano kwa jina Ubungo Plaza

No comments:

Post a Comment