Mwenyekiti wa Tasisi
ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku amewaomba viongozi wa Assasi za Kiraia za Nchi
za Maziwa Makuu Kumsaidia Raisi wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kuwa simamia watanzania
katika Mchakato wa Rasiumu ya Katiba ili kuweza kupata Katiba ambayo ita
waletea Maendeleo wananchi wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Tasisi
ya Mwalimu Nyerer Joseph Butiku ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu wa Asasi za
Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu ,Mkutano Ulio fanyika Jijijni Dar- es- Salaam
kwa ajili ya Uchaguzi wa viongozi wawakilishi 12 watakao wakilisha katika Nchi
za Maziwa makuu ambapo Joseph Butiku alipita bila kupingwa .
Mwenyekiti wa Tume ya Tasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph
Butiku amesema katika Kuanda Rasimu
ya Katiba ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Rais Kakaya Mrisho Kikwete ali
Ridhia Raisimu ya Katiba ni juu ya Watanzania Kumunga Mkono Rais wao ili
kuwawezesha watanzania kuendelea kudumisha amani na utulivu kutokana na Katiba
itayo Patikana
No comments:
Post a Comment