KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, August 14, 2017

UJENZI WA DARAJA LA MATALAWE WANANCHI WALALAMIKIA KUCHELEWA KUKAMILIKA KAZI


Wanchi wa Mkoa wa Ruvuma wameishukuru serekari kwa kufanya upanuzi wa Daraja la Matalawe liliopo Manispaa ya Songea linalo tarajia kugarimu kiasi cha shilingi milioni 126 mpaka kukamilika Daraja hilo ambalo kila mwaka lilikuwa likisababisha waqtu kupoteza maisha baada ya kutumbukia katika daraja hilo

Wananchi hao wa Songea  wakizungumuza kwa nyakati tofauti wamesema pamoja nia nzuri ya serekari ya kupanua Daraja hilo wameomba kuchagua wakandalasi ambao wana fanya kazi sawa na  na uthamani wa fedha waliyo ombea na siyo bora kazi na kuisababishia serekari hasara

Watalamu kutoka kampuni ya STUMARK Enginerering wakiwa na Mkurugenzi wao Inensent Mwafyenga wamesema kazi ya ujenzi wa daraja ina hitaji utulivu hivyo wananchi wawe na Imani na Daraja hilo lita weza kukamilika ndani ya miezi 6 ,alipo tafutwa injia mbawala mbawana na ingia majuto simu zao hazikuweza kupatikana.

Daraja nyingi zilizoko mkoa wa Ruvuma zina sababisha ajali kutokana na kuto kuwa na kingo pia kukosekana kwa vibao vya maelekezo ya kujulisha madereva kuwa mbele kuna daraja au mteremuko, katika eneno la Buruma wilaya ya Mbinga kuna mremuko mkali ambapo Zaidi yawatu 18 wameweza kupoteza maisha mbali ya wananchi kuiomba Tanroad kuweka alama ya kona kali na mtelemuko wenye urefu wa mita 100 mpakja chini