KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, March 21, 2014

UPANDAJI MITI UNA FAIDA SANA KWA BINADAMU HEBU TUONE FAIDA ZAKE KWA WAJASILIA MALI WA RUVUMA

 Faida ya miti ni pamoja na kupasua Mbaio na kutengeneza vifaavya aina Mbalimbali Fundi Seremara Zakaria Kaimu Rwnda anaonekana akitengeneza Meza na kuweza kujipatia fedha shuguli zake anafanyia mtaa CRDB Mpenyo wa Ushirika
 Shirika la Posta Songea ni moja ya mashirika ambayo yana Fahamu Faida za upandaji Miti, Tanzania imekuwa katika changamoto ya madawati ya kukalia wanafunzi shuleni, shirika la Posta baada ya kupanda miti ili weza kupasua Mbao na kutengeneza Madawati ,Hapo meneja wa Posta Joseph Shirima anaonekana akiwa amekalia madawati aliyo Tengeneza
 Meneja WaPosta Joseph Shirima akipanda miti katika Shule ya Msingi Mbulani
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbulani Manispaa ya Songea wakipanda miti ya Mbao
Uharibifu wa Mazingira una fanywa na watu wanao taka kujipatia kipato cha haraka bila kujali kuwa wanaharibu mazingira eneo linalo onekana ni sehemu ya kitai eneo la Mbinga wakiwa wamechimba Brabara ya lami chini kwa chini bila kujali gharama iliyo tumika kutengeneza barabara ya songea Mbinga iliyo gharimu shilingi bilioni 79
 Miti imeonyesha faida kubwa wananchi sasa wana tundika mizinga iliyo tokana na upasuaji wa Mbao hapo Mkuu wa Wilaya ya Songea  Joseph Joseph Mkirikiti akiwahimiza wananchi kufuga Nyuki
Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti amesema umefika wakati sasa wa kujenga urafiki na Nyuki badala ya kuwaona Nyuki kama Adui amewataka wananchi kuepuka na  kuchoma misitu ovyo unao sababisha viumbe wengi kutoweka wakiwemo nyuki


Wananchi wa vjiji vya Mtyangimbole na Gumbiro Songea  Vijijini baada ya miezi miwili  wanatarajia kuvuna kilo 500 za Asali  na Nta kilo 50za  baada ya kutundika mizinga 50 katika Msitu wa Hifhadhi
                            
Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amesema hayo katika wiki ya kitaifa ya kutundika mizinga iliyo fanyika kijiji cha Mtyangimbore .Amesema Mpango wa serekari wa Matokeo Makubwa sasa ni kubuni mipango mbali mbali ya kumwongezea Mwananchi wa Chini kipato kupitia Ufugaji wa Nyuki’
Mizinga ya nyuki iliyo tengenezwa kwa mbao ikiwa inaningt"inia juu ya miti

 kuhifadhi misitu kuna leta faida nyingi baki ya kupasua mbao pia kuna leta Mvua Mwakilishi kutoka Mtwara akitoa Elimu siku ya Upandaji miti kitaifa sherehe zilizo fanyika  Mtyangimbore Songea Vijijini


Naye Mwakilishi wa Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Gaudens Kilasi amesema kutokana na Mizinga 25 iliyotolewa mwaka jana na mizinga 25 ya sasa itawasaidia wananchi kuvuna Tani 500 za Asali swala litakalo saidia kupunguza umasini kwa wananchi wa vijijini.
  Mwakilishi kutoka kanda ya Mtwara akisoma tarifa  juu ya Mafanikio ya utunzaji misitu,

 Wazazi wakipewa tarifara na  Meneja wa  Posta Songea Joseph Shirima  juu ya  faida ya miti waliyo ipanda katika shule ya Mbulani Manispaa ya Songeas

Meneja wa Misitu Wilaya ya Songea Manyisye Mpokigwa amesema juhudi za Idara yake kuhusu Utundikaji wa Mizinga na kulinda Misitu sasa inaonyesha mafanikio wananchi wengi wa vijijini wameanza kuvuna Asali Meneja Misitu wilaya ya Songea akiwa katika wiki ya Utundikaji wa Miti Kitaifa sherehe zilizo fanyika Songea

No comments:

Post a Comment