KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, September 28, 2013

OPARESHENI MALUMU KWA MUJIBU WA SHERIA KIKOSI 842 JKT MLALE

Mgeni rasimi Mkuu wa Wilaya ya mbinga Senyi Ngaga katika Oparesheni Malumu katika kikosi cha 842 JK Mlale akito usia kwa Vijana wanao maliza Mafunzo ya miezi mitatu, aliwasa kuachana na tabia za kuiga zenye kuharibu maadili pia amewataka vijana kuwa chanzo cha kutoa elimu kwa wenzao katika kuepukana na migomo ,upokeaji rushwa,na kuwafundisha wenzao maadili mema
Vijana wa Oparasheni Malumu wakifanya onyesho la Sarakasi katika katika viwanja vya Mlale
Viongozi mbalimbali wa JKT Mlale wakiangalia onyesho la Paredi la vijana wa Oparasheni malumu
Mkuu wa wilaya ya Mbinga Senyi Ngaga akiwa na mwenyeji wake mkuu wa kikosi cha mlale Meja Tomasi Mpuku wakiangalia sanaa mbalimbali
Wakuu wa wa vikosi mbalimbali na viongozi waserekali wakiwa katika hitimisho la mafunzo ya oparasheni Malumu ya mikaka 50 ya JKT Mlale
Vijana wakakamavu wakingoja hotuba ya Mgeni Rasimi ya kufunga Mafunzo ya Oparasheni malumu ya miaka 50 ya JKT
Vijanawakike walio maliza mafunzo ya Oparasheni Malumu wakitamba ,wakisema sisi tuna weza
Utulivu ni moja ya mafunzo waliyo pewa vijana hao hapo wametulia na kungoja  maelekezo
Vijana kutoka Mwanza wameweza kuijua Songea kupitia Jeshi la kujengaTaifa ona manufaa ya Jeshi Una kwenda kokote kule bila kikwazo,
Serekali inaweza endapo itaamua, Maadili ya Taifa letu yalianza kulega legalega baada ya kufuta JKT Vijana hao hapo chini wana sema awamu hii ni yao ya kurudisha maadili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
Ukiishiwa Risasi huna haja ya kuangaika bali Singe ina kuokoa ona vijana wanavyo tumia singe

heshima ni moja ya Vigezo vya Jeshi Vijana wakipita mbele ya Mgeni wa Heshima kuota salamu
Ukitaka ukakamavu basi jiunge na Jeshi huta kuwa tena Mtoto wa Mama bali utakuwa Mtoto wa Taifa
Kiapo cha utii kwa Rais  Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania baada ya Kumaliza mafunzo ya oparesheni malumu


Heshima kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga zikitolewa na Vijana wa JKT Mlale Songea
Mtazamaji siyo nia yetu kuku chosha bali nikukuonyesha karibu vijana wote walio hudhuria mafunzo
Vijana wakiwa na wakihamasika kuimba wimbo wa Eeevijana vijana vijana Tayari
KUVUKA VIKWAZO KWA NJIA YA KAMBA ONA VIJANA WANAVYO FANYA VITU VYAO
Ukakamavu ni Chai katika Jeshi Paredi ni kama Vazi la  jeshi hilo sauti ni njia ya mwisho kupokea Amuri ya kijeshi
kuvuka vikwazo kwa kutumia kamba kijana ana kwenda sipidi utafikiri yuko chini
Viongozi Waandamizi wa kiongoza gwaride kupita mbele ya Mkuu wa wilaya wakitoa Hheshima
                                                                            JKT MLALE
                                                         PAREDI JKT MLALE SONGEA
VIJANA WAKIWA WAMELEGEZA MWILI

                                                    MKUU WA WILAYA MBINGA SENYI NGAGA
                                                                             VIONGOZI WA JKT
VIONGOZI JUKWAANI KATIKA OPARASHENI MALUMU MIAKA 50 YA JKT


                                                                         MLALE JKT
                                                                      SINGE JKT MLALOE
1 comment:

  1. Are there others photos and video remaining not yet posted?

    ReplyDelete