Viongozi waandamizi wa Jeshi la Wananchi wakiongozwa na Kanali Lucy Joseph Kaingilila wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasimi Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti
Mkuu wa wilaya ya songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katikati kulia ni kanal Lucy Joseph na kushoto ni meja Thomasi Mpuku mkuu wa kambi ya JKT Mlae
Meja Thomas Mpuku akiwa na Mkuu wa Wilaya songea Joseph Joseph Mkirikiti
Vijana wa mafunzo ya kujitolea ya miaka 50 ya Mungano wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasimi ,ambaye amewaambia kuachana na tamaa ,kuacha kumia mafunzo waliyo ya pata kwa kuafanya uhali bali wao wawe msitari wa mbele kutangaza sifa mzuri ya Tanzania
Chezea ulinzi wewe vijana wame iva kama unavyo waona kwenye picha ni moto wakuotea mbali ndugu yangu ukiona mafunzo yao huwezi kuamini macho yako
JKT MLALE SONGEA
Vijana wa JKT Mlale wameiomba serekari kuongeza muda wa Mafunzo muda wa miezi mitatu wa nao utumia haukizi kuwaweka katika ukakamavu wangeomba mafunzo yawe ya miezisita kwa ufupi
Vijana hawa wa JKT Mlale wamesma widhara ya mambo ya Ndani inapo awawakumbuke kwanza wao ili waweze kutumia ujuzi walio upata iwe JWTZ ,Uhamiaji, Police
JKT MLALE SONGEA
Paredi na kiapo cha utii
ukaguzi wa Gwaride na Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti
Viongozi wakipokea heshima kwa vijana 1953 walio hitimu mafunzo ya Kujitolea ya Miaka 50 ya Mungano
Vijana wa kitoa kiapo kwa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
Baada ya Paredi Vijana wakiwa katika Mapumuziko
Hizo siyo kuni wa Vya kuchezea hiyo ina kuonyesha kuwa Tanzania haina utani katika ulinzi
JKT MLALE
Vijana hao wanahamu ya kwenda Dafu Chezea JKT wewe
Kijana ambaye ameiva akiendesha mafunzo ya kutumia singe unge kuwepo unge tamani na wewe kujiunga na JKT
Vijana wakitoa heshima mbele ya Mgeni rasimi Mkuu wa Wilaya Songea Joseph Joseph Mkirikiti
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE
Mkuu wa wilaya ya songea akikagua gwaride
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA |
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SOPNGEA
JKT MLALE SONGEA
JKT MLALE SONGEA
No comments:
Post a Comment