KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, April 27, 2012

MTOTO WA AJABU AZALIWA SONGEA SEHEMU ZA SIRI ZIKIWA KICHWANI

Mtoto wa Ajabu aliye zaliwa katika Hospitali ya Songea Mkoani Ruvuma akiwa na sehemu za kike na za kiume Kichwani
Angalia kwa makini kitu unacho kiona kime simama hapo kichwani ni sehemu za siri za Mwanaume
Sehemu za Kawaida nazo zipo katika sehemu mbili za kike na zakiume angalia kwa makini
Unayo ona hapo mbele ni sehemu ya siri ya mwanamke ikiwa ime kaa katika paji la uso
Sasa una weza kuona Vizuri unacho ona kama kidole ni sehemu ya siri ya mwanaume na juu ya Paja la Uso ni Sehemu ya Siri ya Mwana mke mambo hayo yote yametokea katika Hospitatari ya Songea siku mbili zilizo pita, Hivi sasa watu wana miminika kwenda kuona mtoto huyo wa ajabu katika hospitali ya Songea Mkoani Ruvuma

4 comments:

 1. these are normal congenital malformations. one may have an ectopic organ, including ectopic heart, etc. Kumbuka chochote chaweza kutokea wakati chembe hai moja inapokuwa tumboni.

  ReplyDelete
 2. peasent

  niliwahi kuuliza
  iwapo Mola amekubakishia kiumbe 'uume'penis....wapi utafikiria kuubandika iwapo binaadam kamili amepungua kitu hicho?
  hapa ni kama jawabu kwa killa moja angaesema vyake; si hasha kuja kuonekana chini ya kwapa.
  na ya mwanamke chini ya ziwa.

  ReplyDelete