utepe ukiwa umezingirwa ili kuzuia mtu asipite asije akalipuliwa na bomu lingine au kuvuruga upelelezi
Asikari Police wakilinda usiku na Mchana katika eneo lilipo lipuka bomu la mkono la kutengenezwa
Baadhi ya Nyumba zilizo asilika na bomu baada ya kulipuka eneo la Mfaranyaki Manispaa ya Songea
Eneo Halisi la tukio linasvyo onekana kwa mbali
Asikali Police wakiwaza baada ya wenzao wawili kulipukiwa na Bomu la Mkono na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma |
Kulia ni binti aliye lipukiwa na Bomu na kujeruhiwa eneo na Mguu ambapo amefungwa POP naye alitolewa vyuma vingi pamoja na Misumari ameiomba Jamii kucha kuwa na visasi na Asikari kwani wao ni watoto wao au ndugu kwa namuna yoyote
Binti Asikari akiwa amepumuzika paada ya Upasuaji ya kufungwa POP
Asikari Police Fadhila Chacgha akimfariji binti aliye lipukiwa na Bomu akiwa hospitali ya mkoa wa Ruvuma
Vijana wa Yebo yebo au waendesha pikipiki Manispaa ta Songea Wakisikiliza Hotuba ya Mkuu wa Mkoa kulaani vitendo vilivyo fanywa na wenzao waendesha pikipiki kwa kuwaumiza vijana wasio na Makosa
Umati wawaendesha pikipiki wa kiwa ukumbi wa Songea Club wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Saidi Thabiti Mwambungu kuhusu swala la mabomu
wingi wa pikipiki zilizopo manispaa ya Songea
Asikari wawili wa jeshi la
police mkoani Ruvuma wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma
baada ya kutupiwa bomu la mkono katika eneo la mfaranyaki na watu wasio
julikana ambao walikuwa katika pikipiki kwa mujibu wa tarifa iliyo tolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kutoka kwenye Vyanzo vyake Vya habari
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Saidi
Thabiti Mwambungu akitoa tarifa katika
ofisi yake amesema vijana hao wawili wakiwa katika doria ya kawaida walipo fika
eneo la darajani mfaranyaki walilipukiwa na kitu kilicho sadikika kuwa ni bomu la kutengenezwa kienyeji Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amesma habari kutoka kwa wasamalia wema wamesema waliona pikipiki tatu zikipita kwa mwendo wa kasi
ambazo zilitupa bomu ambalo lililipuka na kuwajeruhi asikari hao wawili miguuni.
No comments:
Post a Comment