Kikao cha kujadili kuhusu uteketezaji wa Miti ya Mikaratusi katika Mlima Matogoro Manspaa ya Songea
Dakitari Rawrence Mbwambo Kaimu mkurugenzi Mkuu Tasisi ya utafiti wa mistu Tanzania akiwakilisha mada kwa njia ya mtandao kuhusu faida ya Miti ya Mikaratusi na uharibifu wa Mazingira
Wadau katika kutunza Mlima matogoro wakiwa katika semina ya uondoaji wa miti ya mikaratusi katika mlima matogoro manspaa ya songea
Robati Mgohole afisa misitu Manspaa ya Songea akitoa hoja kuhusu utoaji wa ,Miti ya Mikaratusi katika Mlima matogoro
Meneja wa Mistu katika Mkoa wa Ruvuma akisikiliza hotuba ya Dakitari Lawrence Mbwambo katika ukumbi wa Maliasili Mkoa wa Ruvuma
Wadau mbambali wakiwa katika kikao rasimi cha kurutubisha Mlima Matogoro kwa Kutoa Miti ya Mikaratusi katika Mlima Matogoro.
Hoja Mzito ya Kutoa Miti ya Mikaratusi Katika Mlima Matogoro Wadau wakisikiliza Kwa Makini na Kuwataka Wahusika Miti hiyo itakayo ondolewa itumike kwa Nguzo za Umeme au Ngozo za Simu
Mkurugenzi Lawrence Mbwambo akipokea hoja mbalimbali kutoka kwa wadau wa Mistu jinsi ya Kuboresh Mistu na kuzuia Watu wanao choma Misitu ovyo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Utafiti wa Mistu Tanzania akiwa ukumbi wa Maliasili Ruvuma akipokea tarifa ya matayarisho ya uvunaji wa Miti ya Mikaratusi
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Juma Ally akitoa faida ya kutunza mistu
No comments:
Post a Comment