KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, September 14, 2017

MKUU WA MKOA AHIMIZA KULINDA MAZINGIRA MKOA WA RUVUMA


MkurugenziwaMamlakayaMaji Safi naMaji Taka SOWASA John KapingaamesemaManispaayaSongeainatarajiakujengaBwawalenyaukubwawaujazowacubikimitamilioni5litakalogarimukiasi cha shilingibilioni 30. MkurugenziwaMamlakayaMajisafinaMaji Taka John KapingaamesemachangamotoiliyoponiulipajiwabilizamajikwaMwezi SOWASA katikabajetiyakeilipangakukusanyashilingimilioni 318 lakinikwasasahupatashilingimilioni 230 ikiwapungufuyamilioni 88 watuhushindwakulipa.
Mkuuwamkoawa Ruvuma MhandisiBinilithMahengeametoaagizo la watukutochoma moto ovyoatakayepatikanasheria kali zichukuliwedhidiyake. Amesema moto ukitokeanaaliyechomahajajulikanahatuazichukuliwekwawenyevitinawatendajiwavijiji.


Kutokananaudhibitiwauchomaji moto ovyomanspaayasongeakwasasaimekuwaikiendeleakupatanmajihadikipindi cha Masikatofautinaawalimajiyalikuwayakikatikamweziwasaba

Meneja wa TFS Manyise Mpokigwa akitoa tarifa kwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Binilith Satano Mahenge jinsi walivyo weza kufanikisha kuweza kupata maji kwa kipindi cha mwaka mzima. Mafanikio hayo yame patikana kutokana na Vijana walio weka kulinda moto usichomwe ovyo kutoka vijiji vinavyo zunguka Mlima matogoro
katika picha aliye tangulia ni Bathazali kutoka tumbuizi ya majimaji na aliye katkati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Binilith Mahenge na wanyuma Mkurugenzi wa Maji safi na Mji taka kutoka SOWASA jonh Kapinga wakifanya utalii wa ndani kwa kutembelea Mlima Matogoro Manspaa ya Songea
Meneja wa TFS Mama Manyise Mpokigwa akihojiwa na wandishi wa habari kuhusu uendelezaji na utunzaji wa mlima Mtogoro, ASmbapo alisema vyombo vya habari visaidie kutoa elimu juu ya kutunza Mazingira hasa kuepuka na uchomaji moto
Vyombo vyote vya habari mkoa wa Ruvuma vilishiriki katika ziara ya utalii wa ndani wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Binilith Satano Mahenge
utalii wa ndani una pendeza hebu ona viongozi wakiwa juu ya mlima Matogoro juu kabisa kutoka usawa wa bahari ni mita 1600 ubaridi uliopo hata mbu hawezi kuzaliwa
Murugenzi wa SOWASA John Kpinga kushoto na Nyuma ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ni MENEJA WA tfs Mama Mnyise Mpokigwa wakiwa katikati ya Msitu wa mlima Mtogoro
Waandishi wa Hbari Viongozi wa Serekari wakiwa kwenye chanzo cha Mto Ruvuma ambacho nikama kisima lakini amini usiamini huo ndio mwanzo wa chanzo cha mto Ruvuma
Viongozi wa Serekari na Waandishi wa Habari wakiwa juu ya jiwe kubwa la mlima Matogoro kileleni kwa mbele mkuu wa Mkoa na Meneja wa TFS wakiangalia kijiji cha Mpingi
usisikie utalii wa ndani kwa kweli una weza kusahau matatizo yako yote ukifika mlima Matogoro kuna Raha ambazo uraiani huwezi kuziona hebu angalia hao watu wanavyo tembea wakiongozwa na Meneja wa TFS Mama Manyise Mpokigwa

MkuuwaMkoawaRuvuma amehimiza kufanya utalii wa Ndani Kama anavyo onekana yeye akinawa maji kachanzo cha Mto Ruvuma Msomaji angalia kwa makini kama una jua Mto Ruvuma ulivyo Mkubwa na Upana wake unavyo ona huo ni mwanzo wa Mto Ruvum


Mtalamu wa Bonde la Ziwa Nyasa akithibitisha chanzo cha mto Ruvuma kama unavyo mwona pichani
Bwawa la Maji ambalo hulisha watu wa manispaa ya Songea lilioko Matolilivyo
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Binilithi Satano Mahenge akiendelea kushangaa maajabu ya Mungu kuweza kushuhudia mwanzo wa mto Ruvuma ukiwa kama chemuchemu ndogo kweli duniani kuna majabu usiishie kusoma na wewe nenda ukajionee maajabu ya Mungu
katibu wq Mkuu wqa Mkoa wa Ruvuma Nemia katikati  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Binilith Satano Mahenge na kulia meneja wa TFS  Mama Manyise Mpokigwa wakiwa katika mlima matogoro kileleni
mkuu wa mkoa akitembelea bwawa la matogoro Manspaa ya Songea

MuhifadhiwaMakumbushoyaMajimajiBatazarNyamsyaamesemachanzohicho cha Makumbushokiligunduliwamwaka 1952  naWakoloni, waondiowaliogunduwachanzohicho cha Mto Ruvuma amesemaKisayaynsichanzo cha MtohuanzakidogonambelendipoMtohupanukakamailivyorisasiinapoingiahuwezikujualakiniinapotokeandipolinapoonekenaTundukubwa.Afisawabonde la nyasaalithibitishakuwachanzohichonimwanzowamto Ruvuma


Mkuuwamkoawa Ruvuma MhandisiDrBinilithSatanoMahengeamesemailikuwezakuenzimasualayaUtaliikwakuwekakumbukumbusahihiyachanzo cha Mto Ruvuma ambachochanzochakekikokatikaMlimaMatogoroManispaayaSongea.


kufika kwenye chanzo cha Mto Ruvuma siyo kazi Rahisi hebu ona watu wanavyo serereka ni mteremko mkali kupita maelezo






 meja wa tfs akitoa maelezo kuhusu uharibifu wa mazingira kwa kulima kwenye vyanzo vya maji na kuchoma moto


MenejawaWakalawaHudumazaMazaoyaMisitu (TFS) wilayayaSongeaManyisyeMpokigwaamesemauchomajiwa moto katikaHifadhindiyochanzo cha uharibifuwamazingiranakusababishaukosefuwaMajiikiwahatuazakisheriahazitachukuliwamajiyatapunguamuhimunikudhibitiuchomajiwa moto.

majengo ambayo yalikuwa yana tumika kwaajili ya kulinda miti iliyo kuwepo hapo awali sasa majengo hayo yapo hayana wakaazi mama Manyise Mpokigwa akielezea jinsi majengo hayo yavyo tumika kwa sasa
miche zaidi ya laki moja imelatikwa ili kuendeleza vyanzo vya maji miti hiyo ikiwa ya asili mkuu wa mkoa akiwa kwenye kitalu cha miti



MkuuwaMkoawa Ruvuma DrBinilithSatanoMahengeameyasemahayobaadayakufanyaziarakatikaHifadhiyaMsituwaMlimaMatogoronakuonachanzo cha Mto Ruvuma ambachoMajiyakehumwagakatikaBahariya Hindi.Chanzohichoni cha ajabuhuwezikuaminikuwaMtomkubwakamahuounawezakuwanachanzokidogonamnahiyondiyomaanaMkuuwaMkoaakatoakaulikuwachanzohichonichanzo cha utalii.

MkuuwaMkoawa Ruvuma DrBinilithSatanoMahengeameyasemahayobaadayakufanyaziarakatikaHifadhiyaMsituwaMlimaMatogoronakuonachanzo cha Mto Ruvuma ambachoMajiyakehumwagakatikaBahariya Hindi.Chanzohichoni cha ajabuhuwezikuaminikuwaMtomkubwakamahuounawezakuwanachanzokidogonamnahiyondiyomaanaMkuuwaMkoaakatoakaulikuwachanzohichonichanzo cha utalii.

No comments:

Post a Comment