KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, February 8, 2012

MKOA WA RUVUMA WAENDELEA KUPATA UFAULU KATIKA KILIMO

Hiyo ni hali halisi ya shamba la mahindi la mbwana Issa Mbilingi lenye ukubwa wa ekari 98 lilioko Parango Songea vijijini.

Mkulima mkubwa wa shamba la Mahindi lenye ukubwa wa Ekari 98 shamba hili kila mwaka hutoa zaidi ya tani 200 mwaka huu huenda likatoa tani zaidi ya tani 200 .garama za uendeshaji ni shilingi milioni 35

MWAKA 2011 MKOA WA RUVUMA ULIFANYA VIZURI KATIKA KILIMO CHA UZALISHAJI WA MAHINDI NA HIVI SASA MKOA UPO JUU KATIKA KILIMO MVUA ZIPO ZA KUTOSHA CHANGAMOTO NI MBOLEA YA RUZUKU AMBAYO WANYONGE WENGI HAIJA WAFIKIA NI JUU YA SEREKARI KUUTEUA MKOA WA RUVUMA KUWA MOJA YA YA MIKOA INAYO WEZA KUZALISHA MAZO YA CHAKULA KWA TANZANIA,AFRIKA HATA ULIMWENGU MZIMA ARIDHI TUNAYO

No comments:

Post a Comment