KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, February 8, 2012

UKIUKAJI WA SHERIA UPANDE WA VIUMBE NA SHERIA ZA MANSPAA

Trafiki akifanya kazi yake kutekeleza amri za Manspaa ya Songea kutoza Fani kwa magari yanayo kiuka Taratibu

Manispaa ya Songea imeamua kutengeneza barabara zake kwa kutia lami ili kupunguza adha ya kupunguza usumbufu kwa wasafiri katikati ya mji lakini hata hivyo gari kubwa bado zinaingia na kusababisha uharibifu mkubwa moja ya magri hayo hilo nimoja wapo

Mkoa wa Ruvuma ni mmoja ya mikoa ambayo inakabiliwa na changamoto za usafiri hapo basi ndogo likiwa lime kwama barabara ya Songea - Mbinga

Binadamu ameteuliwa na Mungu ili awe mlinzi wa viumbe hapa duniani awe mwadilifu,atumie utashi na busara katika kutoa maamuzi kwa upande wa viumbe vinavyo mtegemea. Sasa hebu angalia huu ndio ulinzi tulio pewa na Mungu kulinda Viumbe vyake ? jee ushikaji huu wa kuku kichwa chini na miguu juu ni haki? kiumbe ni kiumbe hebu fikiri watu wanao itwa wachawi binadamu wa kawaida wanawaonaje wachawi Tumia Busara katika kubeba viumbe ukimwona mtu kama huyu mkemee mara moja ,mbona matenga yapo kwa nini usitumie tenga

No comments:

Post a Comment