KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, November 8, 2012

JUMA NYUMAYO UNATAFUTWA NA NDUGU YAKO

MUNGWANA MSOMI ANA HAMU YA KUJUA NDUGU ZAKE JEE WEWE ULIYE NJE UNAWEZA KUFANYA HIVYO

Habari, za huko Songea nimevutiwa na jina lako na nimelifananisha na Dada yangu nilipata kusoma naye shule ya msingi Luhira huyu dada alikuwa anaitwa Stamili Nyumayo ama kweli nimeonana naye miaka ya themanini siju ana uhusiano na wewe,Mimi naitwa Baltazar B.Komba nimwenyeji wa songea kidogo lakini kwa miaka mingi nimewekeza Mtwara na nina mpango wa kugombea nafasi ya juu ya kisiasa mwaka 2015,nikiwa hai,kwa sasa Mimi ni katibu mtendaji wa shirika la FAIDIKA WOTE PAMOJA-FAWOPA nililo lianzisha mwaka 2004 na ni mratibu wa mradi wa jali watoto unao endeshwa na Fawopa kwa msaada wa PACT-worldwide, nina program pia itakayo washirikisha ndugu zangu walio maliza shule ya msingi mwaka 1997 ktk shule ya Luhira,Hivyo kama utakuwa unauhusiano na Stamili utakuwa umenisaidia kuanza kuwasiliana na mtu ambaye anaweza kunipa mawasilino ya mtu mwingine anaye itwa selina Nguruwe kwa sasa nipo Sofia katika nchi ya Burgalia tokea wiki ya jana natarajia kurudi wiki hii Ahsante sana wasalimie wote huko nyumbani


Komba -BB(Mtumwa wa watu)

No comments:

Post a Comment