KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, April 30, 2013

NJINSI YA KUENDELEZA MIJI NA SEHEMU ZA MCHEPUKO

 Angalia jinsi mji wa Morogoro unavyo pendeza wakati ukiingia hali hii ikopia Arusha Moshi jee Hlimashari zingine zina mpango gani wa kuweza kuendeleza miji yao Tujifunze kwa wenzetu
 Majengo ya Orofa ambayo yalijengwa kwa ufanisi mpaka sasa majengo hayo hayaja weza kuteteleka kwa nini wahandisi wasiige mfano huo jengo unalo liona mbele yako ni jengo la Blue Pearl Hotel
 Mji wa DaR -es Salaam eneola Ubungo jinsi unavyo onekana Mpangangilio wa Ujenzi Bora
Moja ya Majengo yanayo jengwa Jijini Dar - es - Salaam jee watalaam wana tembelea maeneo hayo ?

No comments:

Post a Comment