KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 2, 2013

POLICE WAKAMATA NYARA ZA SEREKARI MIKIA 10YA TEMBO

Kamati ya ujenzi wa jengo la Police Wanawake lililo jengwa kwa Mtindo wa michango Watu unao waona ndio walio fanikisha kuweza kujenga jengo la Police Wanawake chini ya kamanda Maiko Kamhanda akishirikiana na Mwenyekiti wa Uhamasishaji Adamu Mzuza Nindi akiwa na Mratibu Juma Nyumayo Jengo la Police Wanawake Mpaka sasa limeweza kugharimu shilingi milioni 39

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma akiwa ameshikilia Mikia 10 ya tembo iliyo kamatwa wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma hiyo ni kumaanisha Tembo kumi wamesha uwawa ,Jee Jamii yetu ina enda wapi .Hivi sasa tume kuwa masikini hata Mbuga ya Mikumi hakuna Wanyama tuliokuwa tukilingia miaka 1970- hadi 1980
Police wanawake wakiweka mikakati ya kumaliza jengo lao baada ya Jengo hilo kukwama kwa ajili ya milango na Thamani za Ndani

No comments:

Post a Comment