KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, September 23, 2013

MA MISS NI FAIDA YA TAIFA AU WAWEKEZAJI

 Watanzania wamekuwa wa kikesha kuangalia Mashindano ya U miss bila kutasithimini hii ni faida kwa wale wanao uza biashara zao zitoke au ni masilahi ya watanzania ? Nauliza swali hilo kwakuona vigezo vilivyo wekwa ni lazima hawa mabinti wavae kaputuar,au nguo fupi, nini kinangaliwa katika nguo hizo, Mbona wakivaa nguo ndefu bado wana pendeza, Naomba tujiulize kwa umakini na siyo kiushabiki .Mara nyingi tuna walaumu dada zetu wanapo badilika baada ya kupata u miss jee hatufahamu chazo chake

HAKIMU ACHOMWA KISU MAHAKAMANI MJINI SHINYANGA

PR Promotion at Karibu PR Promotion Blog
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la Nguzo Nane, Kata ya Kambarage Mjini Shinyanga, Satto Nyangoha amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu katika shavu lake la kushoto baada ya kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa baiskeli. Kitendo hicho kinadaiwa kufanywa na mlalamikaji katika kesi hiyo, Emmanuel Izengo (28), mkazi wa Tambukareli, Shinyanga baada ya kutokuridhishwa na hukumu iliyotolewa bila ya mshtakiwa, Daniel Makelezia, mkazi wa Lubaga Shinyanga na mdhamini wake, Marko Nkelezia kuwepo mahakamani. Katika hukumu yake, Hakimu Nyangoha alisema mshtakiwa atakapopatikana atatumikia kifungo

No comments:

Post a Comment