KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, February 28, 2014

MKONGWQWE WA HABARI ADAM MZUZA NINDI AJALIWA NA MWENYEZI MUNGU KUPATA WATOTO MAPACHA

 kuzaliwa kwa Binadamu hutegemea zaidi Mwenyezi Mungu Mama hapo juu Ajulikanaye kwa Jina la Maula Chale amebahatika kujifungua Mapacha Mtpto wa Kiume na Wakike ,Wakiume anaitwa Hasani na Wakike anaitwa Husuna, kazi kubwa ni kumwombea kwa Mungu ili watoto wawe lidhiki yake au benki ya baadaye kwake, Watu walio wengi huogopa kuzaa wakifikili ni Mzigo kwao kumbe wana jiwekea benk ya maisha kwa zoho zao Zitakapo fikia Uzeeni
 Dada yake Maula Chale ajulukanaye kwa jina la Teodesia Chale akiwa amewashika watoto wawili wa dada yake Husuna na Hasani
 Husuna na Hasani wakiwa wamefika katika Dunia Mpya hapo wana utwanga usingizi watoto wa Adam Mzuza Nindi Hao
Waoto wakiwa Macho wa kishangaa mambo ya Dunia cha Msingi Tuwaombee wawe Watanzania wenye kuipenda nchi yao, Mungu wabakiki Hasani  Nindi na Husuna Nindi , Mungu ibariki Tanzania.

3 comments:

  1. lazima nikupe homngera mkongwe sasa kazi kwelikweli si masikhara mwambie shemeji hongera nawatakia kila la heri wage ni hao Jungu awabariki sana.

    ReplyDelete